Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

Andres Mec
Diego Maradona
Zinedine yazid Zidane (Arab)

Hizi mashine kaanazo mbali.
 
Wewe Messi umemuweka kwa kigezo kipi!!?
Mimi nime muweka Ronaldo kwa kuwa
Kafanya vzuri EPL na La liga (ligi kubwa dunian hizo)
Na kafanya vzuri kwenye timu ya taifa ya wakubwa na kawa cinsistent toka mwaka 2003 hado sasa.

Sion kama kuna mtu ana weza ku mmatch
Uko sahihi mkuu....lakin pia ni leader mzuri wa team refer euro....alafu mlinganishe na messi aliye quit eti kisa hajapata kombe!!
 
Yaaan ulicho paswa umuongelee pele ndo ume muongelea maradona
Nyie ndo huo mpira mna uskiliziaga XXL kwa james tupa tupa
Zamani kulikuwa hakuna strict laws of ofside lakin pia sheria hazikuwabana mabeki na walikuwa agresive kuliko now
Kama magoli 1000 na zaid si kitu nutajie at least watu watano walio fikisha hyo
Kama makombe ya dunia ma tatu si kitu
Taja wengne walio fanya hvo
Think big mkuu
Acha bias
Achana na hilo juha ambalo linakaa kuwaza Argentina tu, Maradona kombe 1 moja la dunia + Messi kombe 0 la dunia na 0 Copa America huwezi kulinganisha na Pele makombe 3 ya Dunia hata siku moja labda uwe unaendelea kupewa dozi Mirembe(OPD)
 
Achana na hilo **** ambalo linakaa kuwaza Argentina tu, Maradona kombe 1 moja la dunia + Messi kombe 0 la dunia na 0 Copa America huwezi kulinganisha na Pele makombe 3 ya Dunia hata siku moja labda uwe unaendelea kupewa dozi Mirembe(OPD)
Mzee wa madawa ya kuongeza nguvu mwilini anapaswa asihesabiwe hata kwa hilo kombe moja
 
Naina umebaki kusema ukweli ukweli

Kama wewe una ukweli wako na mimi nna ukweli wangu
Na ukweli wangu Messi hagusi popote ni mashabiki wa barca tuu(maana hata wa argentina hawaoni hivo) ndo wana penda kumpaisha
Na mkuu una hangaika haita kuja tokea kwa hvi karibuni mimi nika kubaliana na wewe
Nadhani huu uzi uta kuwa ni endelevu
Hagusi vipi? Ukweli upi? Kwani huyo Pele na Messi nani mwenye Ballon d'or nyingi? Wewe pele ushawahi mwona wakati anacheza? Kwa maswali yangu hayo, utagundua kuwa kumbe ni Pele ambaye hagusi kwa Messi...halafu huyo Pele mwenyewe anamkubali Messi kuwa ni mchezaji bora wa zama hizi!!!
 
Hata Ronaldo magoli 500 kafika(so naye tuna subir)
Hata de lima alifika idadi hiyo
Subiri huyo Messi akifikisha 1000 tuta zungumzia hilo

Kuchukua kombe ni kigezo mkuu, na ndiyo product ya individual brilliance, na kwa sababu individual perfomance na team perfonce vina athiriana

Pia kwakuwa hata Pele mwnyewe gwiji la magwiji haezi cheza peke ake lazima tujaji kwa kupitia vyote

Angalia sehem zote alizo cheza Messi haja wahi kuwa na kikosi kibovu nyuma yake (jambo ambalo si kosa na wala si lazima litojekee lakin lina mantiki kwenye uchambuzi).

Messi ni mchezaji mzuri sanaa, lakini ambaye pia kabahatika kila ana po amka kazungukwa na wachezaji bora kabisa pale barcelona
Kwahiyo Pele na Maradona walikuwa wanazungukwa na wachezaji wabovu? Duh...kikosi kibovu chote, mchezaji mmoja ndiyo mzuri halafu muchukue kombe? Ronaldo amezungukwa na wachezaji wabovu??? Yaani akina bale, modric, marcelo,pepe, james, ramos, varane, isco n.k...ni wachezaji wabovu??? Au akina rooney, gigs, nani,scholes n.k ni wabovu? Ndiyo unanihabarisha leo...nilikuwa sijui!!!
 
Wewe mbona kila saa unataka nitaje sababu zangu wakat we zako huweki!!!!!

Hapa siyo mahakamin kuwa unihoji tuu
Wewe weka sababu zako kwanini gwiji Pele ana funikwa na mie ntaleta zangu
Yaan Fifa waseme Pele ndo bora zaid alaf we ubishie
Fifa ndiyo imempa Messi tuzo za mchezaji bora wa dunia mara 5 ambazo ronaldo hajafikisha, jambo ambalo linamfanya yeye awe bora maana hizi ni tuzo za mchezaji mmojammoja na si za team...mbona wewe unabishia??? Unawabishia watalaamu wa soka? Makapteni, Makocha, wachambuzi n.k ambao wanapiga kura kuchagua mchezaji bora? Unawabishia Fifa?
 
Hata Ronaldo magoli 500 kafika(so naye tuna subir)
Hata de lima alifika idadi hiyo
Subiri huyo Messi akifikisha 1000 tuta zungumzia hilo

Kuchukua kombe ni kigezo mkuu, na ndiyo product ya individual brilliance, na kwa sababu individual perfomance na team perfonce vina athiriana

Pia kwakuwa hata Pele mwnyewe gwiji la magwiji haezi cheza peke ake lazima tujaji kwa kupitia vyote

Angalia sehem zote alizo cheza Messi haja wahi kuwa na kikosi kibovu nyuma yake (jambo ambalo si kosa na wala si lazima litojekee lakin lina mantiki kwenye uchambuzi).

Messi ni mchezaji mzuri sanaa, lakini ambaye pia kabahatika kila ana po amka kazungukwa na wachezaji bora kabisa pale barcelona
Hivi data zako unazitoa wapi? Mbona unatudanganya? De lima hakufika hata 400 sembuse 500...au kwenye ndondo cup/mpira wa mchangani huko kwao kabla hajachukuliwa na Cruzeiro???
 
Hagusi vipi? Ukweli upi? Kwani huyo Pele na Messi nani mwenye Ballon d'or nyingi? Wewe pele ushawahi mwona wakati anacheza? Kwa maswali yangu hayo, utagundua kuwa kumbe ni Pele ambaye hagusi kwa Messi...halafu huyo Pele mwenyewe anamkubali Messi kuwa ni mchezaji bora wa zama hizi!!!
Kipindi cha pele tahili kabsaballon d or haikuwepo kwa hiyo kusema messi ana ballon d or nyingi (ukikunbuka kuwa ya 2010 haku stahili kabsa) ni ujinga
Angalia data zake zina soma nini sikiliza pia wataalam waka kamati za ufundi za fifa wanasemaje

Juzi tuu ufaransa pele na maradona walikubaliana kuwa Messi hawezi kuitwa gwiji wa soka kama wao wanavo itwa so
Acha kumlisha maneno pele
 
Hivi data zako unazitoa wapi? Mbona unatudanganya? De lima hakufika hata 400 sembuse 500...au kwenye ndondo cup/mpira wa mchangani huko kwao kabla hajachukuliwa na Cruzeiro???

😀😀 huyu kijana sijui anazitolea wapi hizo data yaani ni uongo mtupu, na yote hiyo ni kushindwa hoja amebaki kubwabwaja tu.. wakati huyo ronaldo wake hajafika hata 500, na huyo de lima anamagoli 280 tu... ndio maana huwa nashindwa nianzie wapi kumjibu,
 
Kwahiyo Pele na Maradona walikuwa wanazungukwa na wachezaji wabovu? Duh...kikosi kibovu chote, mchezaji mmoja ndiyo mzuri halafu muchukue kombe? Ronaldo amezungukwa na wachezaji wabovu??? Yaani akina bale, modric, marcelo,pepe, james, ramos, varane, isco n.k...ni wachezaji wabovu??? Au akina rooney, gigs, nani,scholes n.k ni wabovu? Ndiyo unanihabarisha leo...nilikuwa sijui!!!

Hahahaha, una nichekesha,
Kiwango akichokuwa nacho pele alikionesha kwenye kila sehem aliyo cheza, angalia data za lio cheza nao pele kama hata walikuwa wana mkaribia, sijasema pele alikuwa ana wachezaji wabaya walo mzunguka
Nimesema messi ana bahati kuwa na wachezaji bora kabsa walo mzunguka
Kwa nini!!?
Angalia mara zootee Messi ana twaa ballon d or wachezaj wangap wa barca huingia kikos cha fifa
Halafu angalia Ronaldo akichukua huwa ana kuwa na wachezaj wangap wa madrid kwenye
Halafu usijitoe ufaham unavo pinga kitu kikosi bora cha dunia
Hivi kroos ni bora kama xavi!!? Au iniesta!!?
Uta mfanisha albeloa(alicheza na ronaldo 2010/11) na alves!!?
Kina rooney hao ndo sisemi ni wachezaji wazuri ila hawa wezi kuwazid wachezaj wa barca na ndo maana barca ilitawala na spain ilitawala kwa sabab ya barca

Angalia vikosi vya portugal na argentina vinavo tofautiana kwakuwa na wachezaj wenye majina nan viwango vikubwa, argentina wako vzuri zaid

Sasa usijitoe akili, fikiri kikubwa mkuu
 
Achana na hilo **** ambalo linakaa kuwaza Argentina tu, Maradona kombe 1 moja la dunia + Messi kombe 0 la dunia na 0 Copa America huwezi kulinganisha na Pele makombe 3 ya Dunia hata siku moja labda uwe unaendelea kupewa dozi Mirembe(OPD)

Tafadhali mkuu tuheshimiane sana, kama interest yako ni matusi plz yapeleke unakojua kama ni nyumbani kwenu ama wapi.. wengine hatukulelewa mazingira ya namna hii ya kudharau wengine.. sisi sio walala hoi kama udhaniavyo, naona umeamua kutoa maneno ya dharau kwa kujua utapewa sifa kumbe ndio kwanza wamekudharau na wamekupuuza, hivyo huwezi kuchangia kwa kauli nzuri kaa pending,
 
Fifa ndiyo imempa Messi tuzo za mchezaji bora wa dunia mara 5 ambazo ronaldo hajafikisha, jambo ambalo linamfanya yeye awe bora maana hizi ni tuzo za mchezaji mmojammoja na si za team...mbona wewe unabishia??? Unawabishia watalaamu wa soka? Makapteni, Makocha, wachambuzi n.k ambao wanapiga kura kuchagua mchezaji bora? Unawabishia Fifa?
Ronaldo ata fikisha 4,soo its alot sioni shda kwenye hilo

Halafu namna hiyo hyo Messi alo pewa ballon d or ndiyo pele alipewa uchezaji bora wa karne

So mi hata sioni shda na hilo naona zaid unaongea pumba kwa kuwa messi kashnda hzo zoote kwa yale aloya fanya akiwa barca akisaidiwa na kina iniesta (2010 alishinda hata japo hakufanya kitu hakustahili) hajawahi pewa kwa sababu ya argentina
So nje ya barca messi hafurukuti
Una jua nje ya barca iniesta ka achieve nini!!?
Euro 2,na world cup 1,,na mara zote alimfanya hadi torres na david villa wawe wafungaji bora

Hilo lina tufundisha ukicheza na ma legend walioko barca huna haja ya kuwa messi, hao hata uwe kilaza vipi wana kunyanyua
 
Hivi data zako unazitoa wapi? Mbona unatudanganya? De lima hakufika hata 400 sembuse 500...au kwenye ndondo cup/mpira wa mchangani huko kwao kabla hajachukuliwa na Cruzeiro???
Kweli nilikosea ronaldo de lima haja fika 500 ana 467 katika mechi 600
Na wewe unasema 400, haja fika umeanza lini ungo!!?

Na ndo sababu ya bias zako kila mchezaj una mdharau na kumshusha

Halaf kumbuka zaid ya wachezaji 27,wamefikisha magoli 500,na kuzid lakin 1000 hawakutia maguu

Muheshim Pele wew usimfanishe na Messi
 
Hagusi vipi? Ukweli upi? Kwani huyo Pele na Messi nani mwenye Ballon d'or nyingi? Wewe pele ushawahi mwona wakati anacheza? Kwa maswali yangu hayo, utagundua kuwa kumbe ni Pele ambaye hagusi kwa Messi...halafu huyo Pele mwenyewe anamkubali Messi kuwa ni mchezaji bora wa zama hizi!!!
Halafu mkuu ukanywe dawa ina onekana ulikuwa una andika wakati una umwa si bure
 
Ronaldo ata fikisha 4,soo its alot sioni shda kwenye hilo

Halafu namna hiyo hyo Messi alo pewa ballon d or ndiyo pele alipewa uchezaji bora wa karne

So mi hata sioni shda na hilo naona zaid unaongea pumba kwa kuwa messi kashnda hzo zoote kwa yale aloya fanya akiwa barca akisaidiwa na kina iniesta (2010 alishinda hata japo hakufanya kitu hakustahili) hajawahi pewa kwa sababu ya argentina
So nje ya barca messi hafurukuti
Una jua nje ya barca iniesta ka achieve nini!!?
Euro 2,na world cup 1,,na mara zote alimfanya hadi torres na david villa wawe wafungaji bora

Hilo lina tufundisha ukicheza na ma legend walioko barca huna haja ya kuwa messi, hao hata uwe ****** vipi wana kunyanyua
Duh! Kweli uwezo wa kufikiri tunatofautiana sana...na hapo ndiyo kikomo chako cha kufikiria! Kazi ipo sana...

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom