muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Mkuu una quote li uzi looote alafu unaandika kaneno kamoja!! Seriously???Amenena
Uko sahihi mkuu....lakin pia ni leader mzuri wa team refer euro....alafu mlinganishe na messi aliye quit eti kisa hajapata kombe!!Wewe Messi umemuweka kwa kigezo kipi!!?
Mimi nime muweka Ronaldo kwa kuwa
Kafanya vzuri EPL na La liga (ligi kubwa dunian hizo)
Na kafanya vzuri kwenye timu ya taifa ya wakubwa na kawa cinsistent toka mwaka 2003 hado sasa.
Sion kama kuna mtu ana weza ku mmatch
Achana na hilo juha ambalo linakaa kuwaza Argentina tu, Maradona kombe 1 moja la dunia + Messi kombe 0 la dunia na 0 Copa America huwezi kulinganisha na Pele makombe 3 ya Dunia hata siku moja labda uwe unaendelea kupewa dozi Mirembe(OPD)Yaaan ulicho paswa umuongelee pele ndo ume muongelea maradona
Nyie ndo huo mpira mna uskiliziaga XXL kwa james tupa tupa
Zamani kulikuwa hakuna strict laws of ofside lakin pia sheria hazikuwabana mabeki na walikuwa agresive kuliko now
Kama magoli 1000 na zaid si kitu nutajie at least watu watano walio fikisha hyo
Kama makombe ya dunia ma tatu si kitu
Taja wengne walio fanya hvo
Think big mkuu
Acha bias
Mzee wa madawa ya kuongeza nguvu mwilini anapaswa asihesabiwe hata kwa hilo kombe mojaAchana na hilo **** ambalo linakaa kuwaza Argentina tu, Maradona kombe 1 moja la dunia + Messi kombe 0 la dunia na 0 Copa America huwezi kulinganisha na Pele makombe 3 ya Dunia hata siku moja labda uwe unaendelea kupewa dozi Mirembe(OPD)
Hagusi vipi? Ukweli upi? Kwani huyo Pele na Messi nani mwenye Ballon d'or nyingi? Wewe pele ushawahi mwona wakati anacheza? Kwa maswali yangu hayo, utagundua kuwa kumbe ni Pele ambaye hagusi kwa Messi...halafu huyo Pele mwenyewe anamkubali Messi kuwa ni mchezaji bora wa zama hizi!!!Naina umebaki kusema ukweli ukweli
Kama wewe una ukweli wako na mimi nna ukweli wangu
Na ukweli wangu Messi hagusi popote ni mashabiki wa barca tuu(maana hata wa argentina hawaoni hivo) ndo wana penda kumpaisha
Na mkuu una hangaika haita kuja tokea kwa hvi karibuni mimi nika kubaliana na wewe
Nadhani huu uzi uta kuwa ni endelevu
Kwahiyo Pele na Maradona walikuwa wanazungukwa na wachezaji wabovu? Duh...kikosi kibovu chote, mchezaji mmoja ndiyo mzuri halafu muchukue kombe? Ronaldo amezungukwa na wachezaji wabovu??? Yaani akina bale, modric, marcelo,pepe, james, ramos, varane, isco n.k...ni wachezaji wabovu??? Au akina rooney, gigs, nani,scholes n.k ni wabovu? Ndiyo unanihabarisha leo...nilikuwa sijui!!!Hata Ronaldo magoli 500 kafika(so naye tuna subir)
Hata de lima alifika idadi hiyo
Subiri huyo Messi akifikisha 1000 tuta zungumzia hilo
Kuchukua kombe ni kigezo mkuu, na ndiyo product ya individual brilliance, na kwa sababu individual perfomance na team perfonce vina athiriana
Pia kwakuwa hata Pele mwnyewe gwiji la magwiji haezi cheza peke ake lazima tujaji kwa kupitia vyote
Angalia sehem zote alizo cheza Messi haja wahi kuwa na kikosi kibovu nyuma yake (jambo ambalo si kosa na wala si lazima litojekee lakin lina mantiki kwenye uchambuzi).
Messi ni mchezaji mzuri sanaa, lakini ambaye pia kabahatika kila ana po amka kazungukwa na wachezaji bora kabisa pale barcelona
Fifa ndiyo imempa Messi tuzo za mchezaji bora wa dunia mara 5 ambazo ronaldo hajafikisha, jambo ambalo linamfanya yeye awe bora maana hizi ni tuzo za mchezaji mmojammoja na si za team...mbona wewe unabishia??? Unawabishia watalaamu wa soka? Makapteni, Makocha, wachambuzi n.k ambao wanapiga kura kuchagua mchezaji bora? Unawabishia Fifa?Wewe mbona kila saa unataka nitaje sababu zangu wakat we zako huweki!!!!!
Hapa siyo mahakamin kuwa unihoji tuu
Wewe weka sababu zako kwanini gwiji Pele ana funikwa na mie ntaleta zangu
Yaan Fifa waseme Pele ndo bora zaid alaf we ubishie
Hivi data zako unazitoa wapi? Mbona unatudanganya? De lima hakufika hata 400 sembuse 500...au kwenye ndondo cup/mpira wa mchangani huko kwao kabla hajachukuliwa na Cruzeiro???Hata Ronaldo magoli 500 kafika(so naye tuna subir)
Hata de lima alifika idadi hiyo
Subiri huyo Messi akifikisha 1000 tuta zungumzia hilo
Kuchukua kombe ni kigezo mkuu, na ndiyo product ya individual brilliance, na kwa sababu individual perfomance na team perfonce vina athiriana
Pia kwakuwa hata Pele mwnyewe gwiji la magwiji haezi cheza peke ake lazima tujaji kwa kupitia vyote
Angalia sehem zote alizo cheza Messi haja wahi kuwa na kikosi kibovu nyuma yake (jambo ambalo si kosa na wala si lazima litojekee lakin lina mantiki kwenye uchambuzi).
Messi ni mchezaji mzuri sanaa, lakini ambaye pia kabahatika kila ana po amka kazungukwa na wachezaji bora kabisa pale barcelona
Andres Mec
Diego Maradona
Zinedine yazid Zidane (Arab)
Hizi mashine kaanazo mbali.
Kipindi cha pele tahili kabsaballon d or haikuwepo kwa hiyo kusema messi ana ballon d or nyingi (ukikunbuka kuwa ya 2010 haku stahili kabsa) ni ujingaHagusi vipi? Ukweli upi? Kwani huyo Pele na Messi nani mwenye Ballon d'or nyingi? Wewe pele ushawahi mwona wakati anacheza? Kwa maswali yangu hayo, utagundua kuwa kumbe ni Pele ambaye hagusi kwa Messi...halafu huyo Pele mwenyewe anamkubali Messi kuwa ni mchezaji bora wa zama hizi!!!
Hivi data zako unazitoa wapi? Mbona unatudanganya? De lima hakufika hata 400 sembuse 500...au kwenye ndondo cup/mpira wa mchangani huko kwao kabla hajachukuliwa na Cruzeiro???
Kwahiyo Pele na Maradona walikuwa wanazungukwa na wachezaji wabovu? Duh...kikosi kibovu chote, mchezaji mmoja ndiyo mzuri halafu muchukue kombe? Ronaldo amezungukwa na wachezaji wabovu??? Yaani akina bale, modric, marcelo,pepe, james, ramos, varane, isco n.k...ni wachezaji wabovu??? Au akina rooney, gigs, nani,scholes n.k ni wabovu? Ndiyo unanihabarisha leo...nilikuwa sijui!!!
Achana na hilo **** ambalo linakaa kuwaza Argentina tu, Maradona kombe 1 moja la dunia + Messi kombe 0 la dunia na 0 Copa America huwezi kulinganisha na Pele makombe 3 ya Dunia hata siku moja labda uwe unaendelea kupewa dozi Mirembe(OPD)
Ronaldo ata fikisha 4,soo its alot sioni shda kwenye hiloFifa ndiyo imempa Messi tuzo za mchezaji bora wa dunia mara 5 ambazo ronaldo hajafikisha, jambo ambalo linamfanya yeye awe bora maana hizi ni tuzo za mchezaji mmojammoja na si za team...mbona wewe unabishia??? Unawabishia watalaamu wa soka? Makapteni, Makocha, wachambuzi n.k ambao wanapiga kura kuchagua mchezaji bora? Unawabishia Fifa?
Kweli nilikosea ronaldo de lima haja fika 500 ana 467 katika mechi 600Hivi data zako unazitoa wapi? Mbona unatudanganya? De lima hakufika hata 400 sembuse 500...au kwenye ndondo cup/mpira wa mchangani huko kwao kabla hajachukuliwa na Cruzeiro???
Mkuu una unga mkono uongo wa wazi waziUpo sahihi mkuu, Asante
Halafu mkuu ukanywe dawa ina onekana ulikuwa una andika wakati una umwa si bureHagusi vipi? Ukweli upi? Kwani huyo Pele na Messi nani mwenye Ballon d'or nyingi? Wewe pele ushawahi mwona wakati anacheza? Kwa maswali yangu hayo, utagundua kuwa kumbe ni Pele ambaye hagusi kwa Messi...halafu huyo Pele mwenyewe anamkubali Messi kuwa ni mchezaji bora wa zama hizi!!!
Duh! Kweli uwezo wa kufikiri tunatofautiana sana...na hapo ndiyo kikomo chako cha kufikiria! Kazi ipo sana...Ronaldo ata fikisha 4,soo its alot sioni shda kwenye hilo
Halafu namna hiyo hyo Messi alo pewa ballon d or ndiyo pele alipewa uchezaji bora wa karne
So mi hata sioni shda na hilo naona zaid unaongea pumba kwa kuwa messi kashnda hzo zoote kwa yale aloya fanya akiwa barca akisaidiwa na kina iniesta (2010 alishinda hata japo hakufanya kitu hakustahili) hajawahi pewa kwa sababu ya argentina
So nje ya barca messi hafurukuti
Una jua nje ya barca iniesta ka achieve nini!!?
Euro 2,na world cup 1,,na mara zote alimfanya hadi torres na david villa wawe wafungaji bora
Hilo lina tufundisha ukicheza na ma legend walioko barca huna haja ya kuwa messi, hao hata uwe ****** vipi wana kunyanyua