Timu yake imebeba na yeye haja beba!!! (Pumba hiii)Unamkubali kwa sababu tu timu yake imebeba euro,na sio yeye aliyebaba
Hizo data hazijachanganuliwa! Kamwe, usiamini data zisizochanganuliwa...maana mchanganuo huwezesha kutambua chanzo cha data!!! Mf. Wakati yuko inter alifunga jumla ya magoli..., barcelona...! Zaidi ya hapo zinabaki kuwa ni story tu za vijiwe vya kahawa!!!Brazilian Ronaldo, also known as "El Fenomeno", scored a total of 405 goals in his professional club playing career. For his country he found the net 62 times, meaning he retired on
467 goals in 678 games. This gives an average of 0.68 goals per game or at least one goal every 1.45 games.
www.givemesport.com/363366-
Hu ni msimamo wako kuto aminiHizo data hazijachanganuliwa! Kamwe, usiamini data zisizochanganuliwa...maana mchanganuo huwezesha kutambua chanzo cha data!!! Mf. Wakati yuko inter alifunga jumla ya magoli..., barcelona...! Zaidi ya hapo zinabaki kuwa ni story tu za vijiwe vya kahawa!!!
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Hu ni msimamo wako kuto amini
Mimi nna ziamni na chanzo changu ndo hiko
Hulazimishwi mkuu
Timu yake imebeba na yeye haja beba!!! (Pumba hiii)
Alifunga goli 3 alikuwa ana assasts 3,
Man of the match mara 2
Na yuko kikosi bora cha Euro
Na jana kaingia 3,borachezaj wa Eufa(obvious ata chukua)
Labda hukuangalia Euro mkuu
Personal information
Full name Ronaldo Luís Nazário de
Lima
Date of birth 18 September 1976 (age 39)
Place of birth Rio de Janeiro, Brazil
Height 1.83 m (6 ft 0 in)
Playing position Striker
Youth career
1990–1993 São Cristóvão [1]
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1993–1994 Cruzeiro 14 (12)
1994–1996 PSV 46 (42)
1996–1997 Barcelona 37 (34)
1997–2002 Inter Milan 68 (49)
2002–2007 Real Madrid 127 (83)
2007–2008 Milan 20 (9)
2009–2011 Corinthians 31 (18)
Total 343 (247)
National team
1993 Brazil U17 7 (5)
1996 Brazil U23 8 (6)
1994–2011 Brazil 98 (62)
Hizo data zake nimezitoa wikipedia ambapo kashinda magoli 247 kwenye mechi 343 za klabu zote alizocheza na taifa kashinda 73 hapo nimejumlisha mpaka za Under 17 ili walau akaribie data zako hata hivyo bado hajafikisha hata 350 , lete data zako! Hukawii kusema wanadanganya hawa...ukisema hivyo, naomba ulete ulizoandika wewe!!!
Mkuu apps sijona magoli hapo
Mkuu eder kafunga goli moja tuu la finaliSasa unanikatalia kuwa hajabeba yeye? Dkk ya 18 alitoka sasa nani alieefungia timu yake ya taifa ni elder sindio? Au nimekosea jina
Ok ngoja nifanyie kaz hiloSimu yako ina tatizo bila shaka! Apps ni appearance...kwenye mabano ndiyo goals! Mimi nimeikopi na kuipaste hapo...nimedanganya vipi??? Google tena...
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Yaah! Hiyo ni yako, hatuwezi kukunyang'anya! Na mourinho pia ana yake, halikadhalika fifa pia wana yao kwa kuzingatia ballon d'or...kila mtu na chake!!!Ok ngoja nifanyie kaz hilo
Lakin
Top 3, yangu inabak
Pele
Maradona
Ronaldo
Ndo ilivoYaah! Hiyo ni yako, hatuwezi kukunyang'anya! Na mourinho pia ana yake, halikadhalika fifa pia wana yao kwa kuzingatia ballon d'or...kila mtu na chake!!!
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Mkuu eder kafunga goli moja tuu la finali
Kumbuka kuvuka makundi
Kuvuka nusu fainali ronaldo ndo aliwavusha
Halafu kuingia robo fainal kumbuka ali assist goli ya quaresma
Wangechukuaje ubingwa kabla hawaja fika final!!!!Hapa tunaangalia aliyesababisha portugal kubeba kombe ingawa walizidiwa...je without elder si wangeenda matuta?..na kwenye penalty kuna kukosa na kupata dis iz lucky...
Wangechukuaje ubingwa kabla hawaja fika final!!!!
Halaf una uhakika gani kwenye penalt wangeshindwa!!?
Wewe ndo huelewek, ukisema ni bahat kama ilikuwa kwao hata kwa penalt wange shinda (nawapa benefit of doubt kwa sabab walishinda anyway)Mkuu huwelewi kiswahili? Nimesema kuna kukosa ama kupata, hiyo ni bahati tu, inaweza kuangukia ushindi upande wwte ule ima kwa hao ndugu zako ama france.