Hahaha
Nnacho jua yuko kwenye Guinness World Book of Records kwa kuwa na most career goals scored in football.
Pili kwanza nashangaa unataka kumfananisha Pele na watu wengine hiyo ni dharau sasa
Messi hawezi kuchukua World cup 3, ok hawezi kuchukua hata Copa America moja, tena asha staafu so haita tokea. Kwa hiyo huku kashndwa hana jipya
Basi tusema atafute hata club nyngne akapate Mafanikio, ndo maana Maradona alienda Napoli timu ya kawaida kabsa enzi hizo na aka beba ubingwa.
Hiyo yote tuna taka ili at least a prove kuwa akicheza na watu tofaut na kina Iniesta ata beba ubingwa, hata wa bara tuu
Yaan ana shinda katika diversity conditions
Na sija sema hawezii kushinda akienda club nyngne, nampa benefit of doubt lakin aka prove ili tuone kama ata waigaa legends walo weza kushinda sehem tofaut tofaut na mashindano tofaut tofauti kama Ronaldo, Maradona na Pele