pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
hahahahahahaWatanzania tuko concerned zaidi na usalama kuliko medals...!
Tumetoa wakimbiaji wetu huko kwa Boko haram.
Coming soon. Meanwhile... Our first medal, on the first day of action, a gold medal by Helen Obiri in the 5,000m women's race.poa poa bro...leta medal table tafadhali
kabisa!!!Coming soon. Meanwhile... Our first medal, on the first day of action, a gold medal by Helen Obiri in the 5,000m.
Hahaa! [emoji1] Wakimbiaji hawafai kuwa na uoga, pakichimbika ni mwendo wa nduki hadi home.Watanzania tuko concerned zaidi na usalama kuliko medals...!
Tumetoa wakimbiaji wetu huko kwa Boko haram.
Hiyo wanaweza wakenya Na waethiopia pekee maana they have experience with some terrorist and they can run for days tiresly.Hahaa! [emoji1] Wakimbiaji hawafai kuwa na uoga, pakichimbika ni mwendo wa nduki hadi home.
Ndugu zetu wanganda wapo pia. Wamoroco na wasauz wanatutoa kijasho pia. Acheni longo longo zenu.Hiyo wanaweza wakenya Na waethiopia pekee maana they have experience with some terrorist and they can run for days tiresly.
excuses...wakati team USA intuma team nzito ya watu karibia 200 kwenda kushiriki mbio mahali flan hio inamaanisha wanakimbizana na terrorist au?πππkubali tu tz kwa michezo bado sana..nimewaona ghana, Botswana, Morocco, Misri na SA wako kule Asaba Nigeria wanashiriki..Hiyo wanaweza wakenya Na waethiopia pekee maana they have experience with some terrorist and they can run for days tiresly.
Ukimaliza kujiconsole ulaleWatanzania tuko concerned zaidi na usalama kuliko medals...!
Tumetoa wakimbiaji wetu huko kwa Boko haram.
what do you expect from the laziest people in east africa?πππ wanapiga story vijiweni darisalam tuKenya ilipeleka participants 150... 100 wakalala kwa airport for a whole night kwasababu nigeria ilikua hajafanya mipango kabambe...Tz ilipeleka participants 7 walipo kwama kwa airport masaa kadhaa waka amua kurudi nyumbani
Ulisikia vijisababu walivyopeana. Blah blah nyingi tu mara sijui 'disorganisation' alafu mwishowe wakadhubutu kutaja Boko Haram. Yaani hata wanigeria walipigwa na butwaa, eti Boko Haram!? Kumbe longolongo zote hizo zilikuwa ni kwasababu ya wanariadha saba tu! Hahaha! [emoji1]Kenya ilipeleka participants 150... 100 wakalala kwa airport for a whole night kwasababu nigeria ilikua hajafanya mipango kabambe...Tz ilipeleka participants 7 walipo kwama kwa airport masaa kadhaa waka amua kurudi nyumbani
Acha kuwaambia ukweli budaboss! [emoji1][emoji1][emoji1]what do you expect from the laziest people in east africa?πππ wanapiga story vijiweni darisalam tu
hahahah kwanza naskia tumeshinda medals nyingi leo sana...Acha kuwaambia ukweli budaboss! [emoji1][emoji1][emoji1]