EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Dec 6, 2022 #1 Habari za leo Motor ya 3 phase inazunguka kuelekea upande tofauti na unaotarajiwa(Anticlockwise) hivyo kushindwa kufanya kazi inayotakiwa kufanya. Ni connection gani ifanyike au marekebisho gani yanatakiwa ili iweze kuzunguka kawaida(clockwise)
Habari za leo Motor ya 3 phase inazunguka kuelekea upande tofauti na unaotarajiwa(Anticlockwise) hivyo kushindwa kufanya kazi inayotakiwa kufanya. Ni connection gani ifanyike au marekebisho gani yanatakiwa ili iweze kuzunguka kawaida(clockwise)
kolelosi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 814 Reaction score 1,940 Dec 6, 2022 #2 EvilSpirit said: Habari za leo Motor ya 3 phase inazunguka kuelekea upande tofauti na unaotarajiwa(Anticlockwise) hivyo kushindwa kufanya kazi inayotakiwa kufanya. Ni connection gani ifanyike au marekebisho gani yanatakiwa ili iweze kuzunguka kawaida(clockwise) Click to expand... Toa phase ya kwanza weka yatatu na ya tatu weka mwanzo. Halafu kama ujuzi ni mdogo kiasi hiko msichezee umeme mkubwa huo.
EvilSpirit said: Habari za leo Motor ya 3 phase inazunguka kuelekea upande tofauti na unaotarajiwa(Anticlockwise) hivyo kushindwa kufanya kazi inayotakiwa kufanya. Ni connection gani ifanyike au marekebisho gani yanatakiwa ili iweze kuzunguka kawaida(clockwise) Click to expand... Toa phase ya kwanza weka yatatu na ya tatu weka mwanzo. Halafu kama ujuzi ni mdogo kiasi hiko msichezee umeme mkubwa huo.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Dec 6, 2022 Thread starter #3 kolelosi said: Toa phase ya kwanza weka yatatu na ya tatu weka mwanzo. Halafu kama ujuzi ni mdogo kiasi hiko msichezee umeme mkubwa huo. Click to expand... Sijagusa mkuu ndio maana sikutaka kugusa mpaka nipate madini
kolelosi said: Toa phase ya kwanza weka yatatu na ya tatu weka mwanzo. Halafu kama ujuzi ni mdogo kiasi hiko msichezee umeme mkubwa huo. Click to expand... Sijagusa mkuu ndio maana sikutaka kugusa mpaka nipate madini
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Dec 6, 2022 #4 Kazi rahisi tuu Katika hizo phase 3, swap phase mbili. Exchange red na blue au blue na yellow au yellow na red vyovyote vile itazunguka ulekeo sahihi. Next time kwenye system yako funga Phase monitor ili kukwepa phase rotation, under/ over voltage
Kazi rahisi tuu Katika hizo phase 3, swap phase mbili. Exchange red na blue au blue na yellow au yellow na red vyovyote vile itazunguka ulekeo sahihi. Next time kwenye system yako funga Phase monitor ili kukwepa phase rotation, under/ over voltage