Three phase motor kuzunguka Anticlockwise

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Habari za leo

Motor ya 3 phase inazunguka kuelekea upande tofauti na unaotarajiwa(Anticlockwise) hivyo kushindwa kufanya kazi inayotakiwa kufanya.

Ni connection gani ifanyike au marekebisho gani yanatakiwa ili iweze kuzunguka kawaida(clockwise)
 
Toa phase ya kwanza weka yatatu na ya tatu weka mwanzo.

Halafu kama ujuzi ni mdogo kiasi hiko msichezee umeme mkubwa huo.
 
Sijagusa mkuu ndio maana sikutaka kugusa mpaka nipate madini
 
Kazi rahisi tuu Katika hizo phase 3, swap phase mbili. Exchange red na blue au blue na yellow au yellow na red vyovyote vile itazunguka ulekeo sahihi.

Next time kwenye system yako funga Phase monitor ili kukwepa phase rotation, under/ over voltage
 
Back
Top Bottom