Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Lakini vp kuhusu Platfom wakati ule??Kulikuwa Hamna Competition Ndio Maana Kwa Sasa Ni Ngumu Kuvunja Hiyo Record.
Internet yenyewe ilikuwa sio kama sasa lkn wa leo hii wanashindwa kuvunja kwanini?Kulikuwa Hamna Competition Ndio Maana Kwa Sasa Ni Ngumu Kuvunja Hiyo Record.
Kulikuwa na vichwa hatari miaka hiyo sema jamaa aliishi mbele ya wakatiKulikuwa Hamna Competition Ndio Maana Kwa Sasa Ni Ngumu Kuvunja Hiyo Record.
Kama?Kulikuwa na vichwa hatari miaka hiyo sema jamaa aliishi mbele ya wakati
Nipe range ya miaka nikutajie list kuanzia 60 enzi za kina The beetlesKama?
We ni wa juzi?Kama?
Akupe na genrè anayotaka maana kulikua na pop, soul, rock n roll, reggae, nkNipe range ya miaka nikutajie list kuanzia 60 enzi za kina The beetles
Kwa mtu ambae ni kizazi cha kina Young Lunya na Amber Lulu bado una mengi ya kujifunzami wa jana,
fafanua tunafatilia coment
Kabisa ngoja nimchanganyie wote hapaAkupe na genrè anayotaka maana kulikua na pop, soul, rock n roll, reggae, nk
Nakupa age mate wake na michael na ambao walikuwa wakaki hasa,lionel richie,george michael ,steve wonder,janet jackson,madona,luther vandross,sylvester,bill joel ,elton john,marvin gaye,fred mercury,the beatles,the commodoles,elvis presley,the beach boys,steave perry,james brown bob marley...list ni ndefu sana na wote ni vichwa ,eti lil wayne mnasema anajua kuimba😀Kama?
sa ndo nini si ushuke ata hayo machacheKwa mtu ambae ni kizazi cha kina Young Lunya na Amber Lulu bado una mengi ya kujifunza
Uliposema "aliishi mbele ya wakati" basi inatosha kwa yeye kuwazidi hao wakali wa kipindi chake na ndio maana mpaka sasa hakuna mtu amewahi kuivunja hiyo rekodi yake,Kulikuwa na vichwa hatari miaka hiyo sema jamaa aliishi mbele ya wakati
Aliwazidi yes ,alicheza ligi ya peke yake ila nyuma yake kulikuwa na lundo la wakali kibao,tena wakali haswaa,elvis presley na the beetles hawakuwa watu wa masiharaUliposema "aliishi mbele ya wakati" basi inatosha kwa yeye kuwazidi hao wakali wa kipindi chake na ndio maana mpaka sasa hakuna mtu amewahi kuivunja hiyo rekodi yake,
MJ ajulikana hadi huko uswekedeni kuna wengine wapo mjini na hawamjui Steve Wonder.
[emoji119][emoji119][emoji119]Nakupa age mate wake na michael na ambao walikuwa wakaki hasa,lionel richie,george michael ,steve wonder,janet jackson,madona,luther vandross,sylvester,bill joel ,elton john,marvin gaye,fred mercury,the beatles,the commodoles,elvis presley,the beach boys,steave perry,james brown bob marley...list ni ndefu sana na wote ni vichwa ,eti lil wayne mnasema anajua kuimba[emoji3]