Thriller ya Michael Jackson yaendelea kuwa album bora zaidi duniani kwa wakati wote

Thriller ya Michael Jackson yaendelea kuwa album bora zaidi duniani kwa wakati wote

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Kwahiyo hakuna Album iliyowahi kufanya mauzo kuizidi Thriller ya Michael Jackson? Na Thriller ni ya kitambo miaka ya 1982. Nawaza zimetoka Album ngapi kali lakini wapi?

Za kina Ed Sheeran, Taylor Swift, The Weekend na wakali kibao lakini hazijaifikia Album ya MJ kwa mauzo? Tuzo 8 usiku mmoja?

Rest Easy King of Pop.


FB_IMG_16462020384093652.jpg
 
Nakupa age mate wake na michael na ambao walikuwa wakaki hasa,lionel richie,george michael ,steve wonder,janet jackson,madona,luther vandross,sylvester,bill joel ,elton john,marvin gaye,fred mercury,the beatles,the commodoles,elvis presley,the beach boys,steave perry,james brown bob marley...list ni ndefu sana na wote ni vichwa ,eti lil wayne mnasema anajua kuimba😀
 
DILEMA ilitishia kufikia hiyo record!!

Nasisitiza " kutishia" na sio kufikia!!
 
Kulikuwa na vichwa hatari miaka hiyo sema jamaa aliishi mbele ya wakati
Uliposema "aliishi mbele ya wakati" basi inatosha kwa yeye kuwazidi hao wakali wa kipindi chake na ndio maana mpaka sasa hakuna mtu amewahi kuivunja hiyo rekodi yake,

MJ ajulikana hadi huko uswekedeni kuna wengine wapo mjini na hawamjui Steve Wonder.
 
Uliposema "aliishi mbele ya wakati" basi inatosha kwa yeye kuwazidi hao wakali wa kipindi chake na ndio maana mpaka sasa hakuna mtu amewahi kuivunja hiyo rekodi yake,

MJ ajulikana hadi huko uswekedeni kuna wengine wapo mjini na hawamjui Steve Wonder.
Aliwazidi yes ,alicheza ligi ya peke yake ila nyuma yake kulikuwa na lundo la wakali kibao,tena wakali haswaa,elvis presley na the beetles hawakuwa watu wa masihara
 
Nakupa age mate wake na michael na ambao walikuwa wakaki hasa,lionel richie,george michael ,steve wonder,janet jackson,madona,luther vandross,sylvester,bill joel ,elton john,marvin gaye,fred mercury,the beatles,the commodoles,elvis presley,the beach boys,steave perry,james brown bob marley...list ni ndefu sana na wote ni vichwa ,eti lil wayne mnasema anajua kuimba[emoji3]
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom