Throat Pain Problem

wende

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
714
Reaction score
66
Heshima yenu wana JF.
Ni kama mwaka sasa,nina tatizo la koo langu kuuma na hii huwa naihisi hasa wakati wa kuongea/kucheka. Nikiongea sana huwa ndo napata taabu zaidi maana ata sauti huwa inataka kubadilika/kukoroma. Nikiwa siongei,I dont feel anything. Wakati wa kula/kunywa,I dont feel any pain.........so I feel pain wakati wa kuongea/kucheka tu.
Two months ago,nishaenda hospital nikamweleza Doctor about my problem na nikapewa dawa ziitwazo Ampiclox na Diclofenac. Nilivyozitumia ni kama zilituliza tu for 1 wk na hali ikajirudia vilevile mpaka sasa.
Kwa doctors na wote wenye experience na hii situation,help me maana nakosa raha ya kuongea/kucheka!
 
Jaribu kumwona specialist wa ENT(Ear Nose and Throat) possibly una 'chronic tonsilitis'
 

mkuu upo mkoa gani?,nataka niguess source,nna mashaka na maji ya mkoa flani
 
Kama ampiclox ilituliza kwa wiki hii inaonesha tatizo lako most likely its a chronic infection.kama ulivyoshauriwa mwanzo ni vyema ukamuona ent surgeon kwaajili ya further matibabu.inawezekana ni chronic tonsilitis au laryngitis ila sina uhakika sana.nakushauri umuone specialist rather than a general practioner
 
Pole ndugu fuata ushauri hapo juu kuwaona wataalamu; kitu chochote kisicho cha kawaida kwenye mwili wako usikipuuzie usije ukaambiwa umechelewa ungekuja mapema zaidi. Tunakuombea upone.
 
mkuu upo mkoa gani?,nataka niguess source,nna mashaka na maji ya mkoa flani

Most of the time nipo kanda ya ziwa na eneo nilipo tunatumia maji ya mvua from dams. Kuna mabwawa makubwa ambayo mvua ikinyesha maji yanajaa and we use circular thru years.
 
Jaribu kumwona specialist wa ENT(Ear Nose and Throat) possibly una 'chronic tonsilitis'

Sawa mkuu,hii ni situation ambayo ata mi naihisi. Ahsante sana kwa ushauri wako!
 
Pole ndugu fuata ushauri hapo juu kuwaona wataalamu; kitu chochote kisicho cha kawaida kwenye mwili wako usikipuuzie usije ukaambiwa umechelewa ungekuja mapema zaidi. Tunakuombea upone.

Naushukuru sana ushauri wako mkuu na nitaufanyia kazi.
 

Jitahid kwenda hapo Bugando kwa daktar Bingwa wa E.N.T na umweleze tatizo lako linatibika,Ikishindikana nenda MUHIMBILI 100% watalishughulikia kwa ukamilifu.
 
Jitahid kwenda hapo Bugando kwa daktar Bingwa wa E.N.T na umweleze tatizo lako linatibika,Ikishindikana nenda MUHIMBILI 100% watalishughulikia kwa ukamilifu.

Nakushukuru sana kwa ushauri wako!
 
Could be infectious diseases, But i remember i had a patient with chronic throat pain while speaking and sometimes stinging under left jaw tulimpa three doses of Pulsatilla 200c at a gap of 4 hours for only one day (not daily) and he report back after 15 days. If unataka kujaribu follow these Instructions

One dose means
If the medicine is in pills form 4 pills. Don't touch pills with hand. Use cap of bottle to take pills. If the medicine is in liquid dilution form, 3-4 drops in some 20 ml water. Sip up slowly.

Also follow homeo restrictions like no coffee, no raw onion/garlic, no strong perfumes, don't eat or drink anything within 30 minutes before or after taking medicine

P.S itakuwa vizuri ukaenda kwa ent. Doc! na pia check your life style sometimes UVUTAJI WA SIGARA unasababisha hiyo pain ! au shughuli/kazi ufanyayo kama unakuwa waongea most of the time could be ndiyo chanzo

Get well soon
 
Thanks kwa hayo yote. Yeah,the way I see,ni vyema vilevile to check my life style + consult an ENT Doc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…