wende
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 714
- 66
Heshima yenu wana JF.
Ni kama mwaka sasa,nina tatizo la koo langu kuuma na hii huwa naihisi hasa wakati wa kuongea/kucheka. Nikiongea sana huwa ndo napata taabu zaidi maana ata sauti huwa inataka kubadilika/kukoroma. Nikiwa siongei,I dont feel anything. Wakati wa kula/kunywa,I dont feel any pain.........so I feel pain wakati wa kuongea/kucheka tu.
Two months ago,nishaenda hospital nikamweleza Doctor about my problem na nikapewa dawa ziitwazo Ampiclox na Diclofenac. Nilivyozitumia ni kama zilituliza tu for 1 wk na hali ikajirudia vilevile mpaka sasa.
Kwa doctors na wote wenye experience na hii situation,help me maana nakosa raha ya kuongea/kucheka!