Throwback Thursday: Juma Nature, mkali wa hizi kazi

Mtoto Sonia mimi nimekuzimia...
Katika kukupenda mimi nimeonesha nia.
Sooonia (oooh sonia) mi nakupendaaa.
Huujui huu wimbo mumy? Mimi huniambii kitu kuhusu pini za enzi hizo..
Si unajua akili za kitoto tena?
Kitu hakibanduki akilini.

We, huo tena!
Mimi nilikua nawapenda WACHUJA NAFAKA kiujumla sijui walifia wapi.
 
We, huo tena!
Mimi nilikua nawapenda WACHUJA NAFAKA kiujumla sijui walifia wapi.
Ulisema huijui hii ngoma ndio maana nikakuandikia na kiji chorus chake kabisa.
Yeah, wachuja nafaka walikua noma sana.
Usitake nikumbuke mzee wa busara. ..ayayayayaaaa
 
Fela anataka kujaribu kumrudisha ila haiwezi kuwa kama kipindi hicho wakati wake ushapita. Ingekuwa rahisi kiivyo watu wangepigana Kibra arudi.
Umesema kweli tupu... ngumu sana kurudi kwenye same level... dah, nimei-miss sana rap katuni... kama sio mtu wa skani, unaweza kusikiliza verse mzima na usielewe kitu!
 
Ulisema huijui hii ngoma ndio maana nikakuandikia na kiji chorus chake kabisa.
Yeah, wachuja nafaka walikua noma sana.
Usitake nikumbuke mzee wa busara. ..ayayayayaaaa

No sijasema ivo mbona?
Basi hatukuelewana.
 
Album yake ya UGALI inatoka nilikuwa advance.., kuna ngoma kali mle, ila ilonikamata enzi hzo ni "kisa dem" , huh P funk alinyonga biti mule.

kisa demu haikuwa kwenye album ya ugali, ilikuwa kwenye album ile yenye hit song 'hakuna kulala'
 
Umesema kweli tupu... ngumu sana kurudi kwenye same level... dah, nimei-miss sana rap katuni... kama sio mtu wa skani, unaweza kusikiliza verse mzima na usielewe kitu!

Awarudishe Necha na Inspecta kama anaweza, rap katun kings. Ila kumbuka ukitaka umrudishe Necha inabidi umtafute na Majani, sio uende kwa kina shedy clever
 
Awarudishe Necha na Inspecta kama anaweza, rap katun kings. Ila kumbuka ukitaka umrudishe Necha inabidi umtafute na Majani, sio uende kwa kina shedy clever
Sure... hapa Nature, kule Majani ndo wanapatiana hawa; ukiwaunganisha na Inspekta hapo, we bwana eh... sipati picha ingawaje ni kama inabidi tu kubali kwamba zile flavor hazitatokea tena!
 
Sure... hapa Nature, kule Majani ndo wanapatiana hawa; ukiwaunganisha na Inspekta hapo, we bwana eh... sipati picha ingawaje ni kama inabidi tu kubali kwamba zile flavor hazitatokea tena!

yes hawawezi kusound the same, mfano MwanaFA nikifatilia nyimbo zake za zaman na za sahiv naona anasound tofauti kabisa ingawa still anarap, kipindi kile alikuwa mwanafalsala kweli the way alivyokuwa anayatamka maneno akirap so amazing, sahiv hanivutii kivile!
 
Mwenye ngoma ya wachuja nafaka inaitwa wachuja nafaka naomba ai upload hapa. Nimeitafuta kinoma
 
hili gem hili gem hili gem taf...la kubana mbaaavu...ahhhh nature hatari bhana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…