Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Mtoto Sonia mimi nimekuzimia...
Katika kukupenda mimi nimeonesha nia.
Sooonia (oooh sonia) mi nakupendaaa.
Huujui huu wimbo mumy? Mimi huniambii kitu kuhusu pini za enzi hizo..
Si unajua akili za kitoto tena?
Kitu hakibanduki akilini.
We, huo tena!
Mimi nilikua nawapenda WACHUJA NAFAKA kiujumla sijui walifia wapi.