Throwback Thursday...

Hahahahaaa usinistaajabishe bana.... nnavopenda ukubwa, ntabishana na wewe hadi asubuhi kuwa mie ndo big sis wako.... wewe ni young bro wangu hata ikibidi useme tuweke passport au driving licence ntaweka kukuhakikishia hahahahaa.
Kaka hata akiwa mdogo kwa umri always he is big brother watching u
 
Kaka hata akiwa mdogo kwa umri always he is big brother watching u

Woow..... umenifanya nikumbuke pale kaka zangu wa kuzaliwa wanaponifariji na kunipa kumbato la faraja ..... "sisi atayekuumiza huyo no halali yetu. Halafu kaka zangu ni wababe hatari... nimemiss maisha tuliyoishi wakati tuko kwa wazazi.
 
Ha ha ha najaribu kukumbuka demu wa utotoni ambae kaka zake walikuwa wababe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…