Huyu ukimweka na Chris brown kwenye kuvunja chriss anasubiriUnampenda sana huyu tozi? Napenda ile 'u make me complete' na same og
Keith sweat dah ana ngoma kali sanaClassic
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiDuh wewe ulikuwa mgumu
Kila nyimbo iliokua ikitoka ni nyimbo nzuri na hazichuji mpaka leoDuh....when music was music
#rnb
#slowjams
Na ile ya R. Kelly pia hahahahahHuyu mzee ngoma zake zote za kuchapiwa....
Huyu mzee ngoma zake zote za kuchapiwa....