Throwback Thursday

Mkandarasmi

Member
Joined
Jan 23, 2020
Posts
7
Reaction score
10
Waungwana, kuna nyimbo ya zamani kidogo yenye baadhi ya lyrics hizi

"Niwe nawe, Niwe nawee, penzi lako la thamani, lenye wingi wa nahau"

Anayeufahamu au details za jina la msanii na jina la wimbo, au kama anao naomba anisaidie tafadhali.!
 
Banana loves Masiga, B Loves M. Niwe nawe, mwaka 2000 before kundi halihavunjika. Badae banana akatoa nyimbo inaitwa "mama".
 
Najaribu kuutafuta lakini haupatikani kwenye digital platforms. Aliyehao anisaidie tafadhali.!
 
Nadhani wimbo sio wa akina Banana but ni Ismail na King Charlz wakijiita Soul n Faith enzi hizo.. Niwe Nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…