TIA, IAA and MUCCOBS 2012-2013 Undergraduate Selections

TIA, IAA and MUCCOBS 2012-2013 Undergraduate Selections

Dah naona kitu kimetema kweli mliopata tupeni feedback. Vp SAMITI a.k.a Mpigamsuli?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hata TIA wameachia wakuu
 
Atakaye fanikiwa kuaweka matokeo kabisa atakua ametenda jambo la msaada.
 
Wakuu lakini muccobs na TIA wameweka za undergraduate, then kumbukeni humu ndani hatuweki news za watu wa tcu pekee hata wa ngazi zingine wapo.
 
Kwahiyo hakuna hata mwanajamvi mmoja aliye chaguliwa???
 
kwa mnaoweza kuyaweka humu jukwaani fanyeni hivyo kwa manufaa ya walio na simu zisizo na pdf
 
Back
Top Bottom