TIA-wanafunzi wazuiwa kufanya mitihani yao ya semister


Huo ni mtazamo wako....

Tz ikiwa maskini mlengwa ni JK tu....period

Watanzania kama tumeamua maisha yawe ivo its OK..........

Mie ni mtoto Wa maskini nmesoma kwa kuunga unga mpaka nmemaliza digrii na sasa nafanya Master's
Iyo Shida sio yangu zen my family amebakia Mdogo wangu wa mwisho ambaye yupo MD peramiho SAUT
Nilikuwa naongea kutokana na Hawa vijana hapa mtaani Kurasini walikuwa wanalalamika zen ikanigusa ndio nkaiwasilisha.
 
mi huwa nashidwa kupata majibu sahihi kuhusu wanafunzi ki ukweli mhuu...
mi nikipita apo chuoni naonaga wanafunzi wa mi s4,s3,iphone4/5 .,,htc wakati mi nafanya kazi na bado sina ayo masimu japo nikijimek nachukua tu bila tatizo ila roho itauma...
kwenye ada shida.
 

Sijui ila nachofahamu since nilipokuwa nafanya mtihani wangu wa kwanza muhula wa kwanza nilikuta hilo sharti la kulipa ada ndipo ufanye mtihani lilikuwepo.
Ndg sipendi kuongea sana ila ni vyema huko tuendako tukafikiria swala la elimu bora kwa watoto wetu. Ni muhimu hata kile kidogo tupatacho tukawa na utaratibu wa kuweka akiba kwa watoto wetu since wanapozaliwa
Hata ikija serikali bora kiasi gani bado kama hatujajitune vizuri tutalalamika tuu
 

Wazazi wangu wamezaliwa 50's Jk kaingia madarakani 2005 nikiwa kidato cha tatu. JK akiingia madarakani tayari tulikuwa masikini, alichokifanya JK ni kutuongezea na au kushindwa kutuoa kwenye ila tayari tulikuwa masikini, hivyo basi kama serikali imeshindwa kunitngenezea fursa, natakiwa kutengeneza mwenyewe
 
hela za bandle ili kila siku muweze kuchat whatsup mnazo.fikiria kila siku upo online whatsup,kila siku bundle ya elfu moja au elfu 20000 piga magesabu 2000 mara 366,hujalipa nusu ya ada?mfukuzwe tu
 

Nimemaliza TIA 2010 kuzuiwa kufanya mtihani ilikuwepo adi ulipe ada.nami yalinikuta semista ya mwisho nilizuiwa kufanya mtihani adi nimalize ada.so nikasubilia adi nilipolipa ada.elimu ya kitanzania ndo ishakua hivyo akuna anayemsikiliza tena mtoto wa masikini .
 
hela za bandle ili kila siku muweze kuchat whatsup mnazo.fikiria kila siku upo online whatsup,kila siku bundle ya elfu moja au elfu 20000 piga magesabu 2000 mara 366,hujalipa nusu ya ada?mfukuzwe tu

Sijui kwanini umesema hivi....

Chuki binafsi haifai....tena kwa mwanamke.
 
Maandamano hayasaidii. Hata vyuo vya serikali vinahitaji kusaidiwa na a
da yako.kwani serikali haina hy pesa yakutosheleza.jitahidi utafute pesa ulipe ada
 
Ingia hotelini, halafu useme,....Jamani mnaninyima pilau na kuku kwa sababu tu nimepungukiwa shs 700? Halafu utuletee jibu hapa. Acheni tabia za kulalamika!!! Unataka nani akulipie ada? it is fair?


umenifurahisha na komenti yako. ungemwongezea hivi.elinu ya lazima ni std 7 tu kwa tz. kama mzazi wako hawezi kukulipia ada drop, elimu ya juu sio lazima, otherwise find the means to foot the bill. ujamaa umekufa.
 
halafu kila siku wapo online whatsup,hao kweli hawana hela?
 
vyuo vimeachwa katika hali ngumu vijiendeshe vyenyewe so vitapata wapi Fedha dats y wanafanya hvyo! unaweza ulaumu uongozi lakini chanzo ni serikali !
Vinajiendesha vinyewe kivipi ? mbona mishahara inalipwa na serikali?
 
Maandamano hayasaidii. Hata vyuo vya serikali vinahitaji kusaidiwa na a
da yako.kwani serikali haina hy pesa yakutosheleza.jitahidi utafute pesa ulipe ada

Hivi ya ada inatumikaje chuoni ?
 
umenifurahisha na komenti yako. ungemwongezea hivi.elinu ya lazima ni std 7 tu kwa tz. kama mzazi wako hawezi kukulipia ada drop, elimu ya juu sio lazima, otherwise find the means to foot the bill. ujamaa umekufa.

We unasikitisha sana.......
 
halafu kila siku wapo online whatsup,hao kweli hawana hela?

Nimeamin mwanamke ni mwanamke tu....sasa hapo ndo unashadadia nini

Au kuna mwanachuo kanusa na kusepa zake...kila ukiangalia whatsapp unakuta yupo online....... Ha ha ha ndo imeshakula kwako.
 
Hao wanachuo wa TIA wakipata boom utawajua2 wanatusumbua sana, unakuta demu kila wiki kaweka rasta za elf50, wanaume wananua maflat skrin, masabufa . Nashangaa kuona wanalalamika. Mimi bum langu katika laki4 na50 nilikuwa natoa lak3 nalipa ada, then inayobaki naweka bili ya msosi kwa mama ntilie.
 
chuo starehe kibao mnakula ada au kuhonga huku mnajipa moyo mtairudisha; at the end of the day mnajikuta muda umekwisha na ada bado hamjalipa, USILE ADA DENT MAPENZI HAYANA MRADI.......... Mzazi hawezi kuacha kukupa ada kama alikubali ukasome. Tuache uwongooooooo Tumwogope MUNGU
 
Chuo chetu cha TIA kipo fair kwan wanaruhusu kufanya test zote mbil ila final ndyo wanazuia mana mim mwenyew nasoma apo degree ya Accountancy, je vyuo vngne vinaruhusu ata kufanya test kama hujamalza kulipa ada ?, pia kuna mdau ameongea point nzuri sana kwan watu pesa za kununua bundle wanazo kuchat whatsapp ila iyo pesa wangejibana ili waweze kulipa ada zao kwa miamala midogo midogo mpaka watakapokamilisha.
 

Sure thing mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…