TIA-wanafunzi wazuiwa kufanya mitihani yao ya semister

TIA-wanafunzi wazuiwa kufanya mitihani yao ya semister

Huo utaratibu hata Dr Mabula kaukuta.
Fikiria kama GT unafikiri huo utaratibu umewekwa na mkuu wa chuo Dr Mabula au bodi ya chuo chini ya Prof Jairo?
Unafahamu kabisa tabia zetu wa wanachuo wa Tz, unadhani ukiruhusu mtu afanye mtihani bila kulipa kutakuwa na "uncollected fee" kubwa kiasi gani. Kwa taarifa yako asilimia kubwa ya ambao hawalipi ada si watoto wa masikini kama unavyosema

Huo ni mtazamo wako....

Tz ikiwa maskini mlengwa ni JK tu....period

Watanzania kama tumeamua maisha yawe ivo its OK..........

Mie ni mtoto Wa maskini nmesoma kwa kuunga unga mpaka nmemaliza digrii na sasa nafanya Master's
Iyo Shida sio yangu zen my family amebakia Mdogo wangu wa mwisho ambaye yupo MD peramiho SAUT
Nilikuwa naongea kutokana na Hawa vijana hapa mtaani Kurasini walikuwa wanalalamika zen ikanigusa ndio nkaiwasilisha.
 
mi huwa nashidwa kupata majibu sahihi kuhusu wanafunzi ki ukweli mhuu...
mi nikipita apo chuoni naonaga wanafunzi wa mi s4,s3,iphone4/5 .,,htc wakati mi nafanya kazi na bado sina ayo masimu japo nikijimek nachukua tu bila tatizo ila roho itauma...
kwenye ada shida.
 
Ulichoongea ni kweli...but

Hapo kwenye roman ii....utaratibu uliokuwepo kipindi cha Hanzuluni ulikuwa ni mzuri ila huyu Dr ndio amekuja kuubadilisha kwa kisingizio icho cha kujiendesha.... Kama wewe ni GT je ni rahisi mtu anayoada na asilipe apate tabu za kufanya mtihani katika mazingira yale.....

La mwisho usiongee sana coz ure still young......na believe me one day Mimi sio mungu but you will have the same problem in a different way.

Sijui ila nachofahamu since nilipokuwa nafanya mtihani wangu wa kwanza muhula wa kwanza nilikuta hilo sharti la kulipa ada ndipo ufanye mtihani lilikuwepo.
Ndg sipendi kuongea sana ila ni vyema huko tuendako tukafikiria swala la elimu bora kwa watoto wetu. Ni muhimu hata kile kidogo tupatacho tukawa na utaratibu wa kuweka akiba kwa watoto wetu since wanapozaliwa
Hata ikija serikali bora kiasi gani bado kama hatujajitune vizuri tutalalamika tuu
 
Huo ni mtazamo wako....

Tz ikiwa maskini mlengwa ni JK tu....period

Watanzania kama tumeamua maisha yawe ivo its OK..........

Mie ni mtoto Wa maskini nmesoma kwa kuunga unga mpaka nmemaliza digrii na sasa nafanya Master's
Iyo Shida sio yangu zen my family amebakia Mdogo wangu wa mwisho ambaye yupo MD peramiho SAUT
Nilikuwa naongea kutokana na Hawa vijana hapa mtaani Kurasini walikuwa wanalalamika zen ikanigusa ndio nkaiwasilisha.

Wazazi wangu wamezaliwa 50's Jk kaingia madarakani 2005 nikiwa kidato cha tatu. JK akiingia madarakani tayari tulikuwa masikini, alichokifanya JK ni kutuongezea na au kushindwa kutuoa kwenye ila tayari tulikuwa masikini, hivyo basi kama serikali imeshindwa kunitngenezea fursa, natakiwa kutengeneza mwenyewe
 
hela za bandle ili kila siku muweze kuchat whatsup mnazo.fikiria kila siku upo online whatsup,kila siku bundle ya elfu moja au elfu 20000 piga magesabu 2000 mara 366,hujalipa nusu ya ada?mfukuzwe tu
 
nnachoona hapa ni utofauti wa maisha ndo unafanya guwe na mawazo tofauti kw mtu wa maisha ya kitanzania yaani wale watoto wa wakulima hawawezi kufurahia au kukashfu kitu alichotoa muweka mada,watu wanasoma kwa shida sana hapa tanzania huyo mtu aliyesomesha watoto wake shule za milion sijui mbili sidhani kama anashindwa kumlipia mwanae ada ya chuo kama TIA ambayo ni milioni moja na laki mbili mpaka tatu kma sijakosea,lakini vipi kuhusu mzazi aliyemsomesha mtoto wake shule za serikali ambazo ada yake ni 70000(sabini elfu) kwa mwaka na bado alikuwa anashindwa kulipa hyo hada kwa wakati stahiki mnaosupport mambo anayoyafanya huyu dr pale TIA sidhani kama ni watanzania mnaoipenda tanzania kwasababu mnasashabikia swala la kwamba elimu ipewe kwa wale wenye uwezo wa kifedha tuu maskia wasio na uwezo waende wapi watawezaje kupata hyo elimu kwa mambo kama haya,eti mtu unasema kama alijua hana hela aliendaje chuo unatumia ubongo kuandika kitu kama hicho kweli nani anapenda kutokuwa na hela au kwakuwa ww unazo unahisi kila mtu anazo thats not fair,ijue tanzania na wakazi wake wote kwenye matabaka yake yote ndo mje hapa muongee vitu kama hvyo.shame on you guys tunasisitiza swala la upatikanaji wa elimu kwa kila mtu sasa kwa itaikadi za hvyo kweli itapatikna kwa wote me nnavyojua kuna watu tunadunduiza maisha yaani unatafuta kidogo kidogo mpaka hyo ada inayohitajika inakamilika sio kama watu wanayaka kusoma bureee.haya maisha ya watu sio mchezo wa kuigiza big up mkubwa #chuma cha reli

Nimemaliza TIA 2010 kuzuiwa kufanya mtihani ilikuwepo adi ulipe ada.nami yalinikuta semista ya mwisho nilizuiwa kufanya mtihani adi nimalize ada.so nikasubilia adi nilipolipa ada.elimu ya kitanzania ndo ishakua hivyo akuna anayemsikiliza tena mtoto wa masikini .
 
hela za bandle ili kila siku muweze kuchat whatsup mnazo.fikiria kila siku upo online whatsup,kila siku bundle ya elfu moja au elfu 20000 piga magesabu 2000 mara 366,hujalipa nusu ya ada?mfukuzwe tu

Sijui kwanini umesema hivi....

Chuki binafsi haifai....tena kwa mwanamke.
 
Maandamano hayasaidii. Hata vyuo vya serikali vinahitaji kusaidiwa na a
da yako.kwani serikali haina hy pesa yakutosheleza.jitahidi utafute pesa ulipe ada
 
Ingia hotelini, halafu useme,....Jamani mnaninyima pilau na kuku kwa sababu tu nimepungukiwa shs 700? Halafu utuletee jibu hapa. Acheni tabia za kulalamika!!! Unataka nani akulipie ada? it is fair?

umenifurahisha na komenti yako. ungemwongezea hivi.elinu ya lazima ni std 7 tu kwa tz. kama mzazi wako hawezi kukulipia ada drop, elimu ya juu sio lazima, otherwise find the means to foot the bill. ujamaa umekufa.
 
mi huwa nashidwa kupata majibu sahihi kuhusu wanafunzi ki ukweli mhuu...
mi nikipita apo chuoni naonaga wanafunzi wa mi s4,s3,iphone4/5 .,,htc wakati mi nafanya kazi na bado sina ayo masimu japo nikijimek nachukua tu bila tatizo ila roho itauma...
kwenye ada shida.
halafu kila siku wapo online whatsup,hao kweli hawana hela?
 
vyuo vimeachwa katika hali ngumu vijiendeshe vyenyewe so vitapata wapi Fedha dats y wanafanya hvyo! unaweza ulaumu uongozi lakini chanzo ni serikali !
Vinajiendesha vinyewe kivipi ? mbona mishahara inalipwa na serikali?
 
Maandamano hayasaidii. Hata vyuo vya serikali vinahitaji kusaidiwa na a
da yako.kwani serikali haina hy pesa yakutosheleza.jitahidi utafute pesa ulipe ada

Hivi ya ada inatumikaje chuoni ?
 
umenifurahisha na komenti yako. ungemwongezea hivi.elinu ya lazima ni std 7 tu kwa tz. kama mzazi wako hawezi kukulipia ada drop, elimu ya juu sio lazima, otherwise find the means to foot the bill. ujamaa umekufa.

We unasikitisha sana.......
 
halafu kila siku wapo online whatsup,hao kweli hawana hela?

Nimeamin mwanamke ni mwanamke tu....sasa hapo ndo unashadadia nini

Au kuna mwanachuo kanusa na kusepa zake...kila ukiangalia whatsapp unakuta yupo online....... Ha ha ha ndo imeshakula kwako.
 
Hao wanachuo wa TIA wakipata boom utawajua2 wanatusumbua sana, unakuta demu kila wiki kaweka rasta za elf50, wanaume wananua maflat skrin, masabufa . Nashangaa kuona wanalalamika. Mimi bum langu katika laki4 na50 nilikuwa natoa lak3 nalipa ada, then inayobaki naweka bili ya msosi kwa mama ntilie.
 
chuo starehe kibao mnakula ada au kuhonga huku mnajipa moyo mtairudisha; at the end of the day mnajikuta muda umekwisha na ada bado hamjalipa, USILE ADA DENT MAPENZI HAYANA MRADI.......... Mzazi hawezi kuacha kukupa ada kama alikubali ukasome. Tuache uwongooooooo Tumwogope MUNGU
 
Chuo chetu cha TIA kipo fair kwan wanaruhusu kufanya test zote mbil ila final ndyo wanazuia mana mim mwenyew nasoma apo degree ya Accountancy, je vyuo vngne vinaruhusu ata kufanya test kama hujamalza kulipa ada ?, pia kuna mdau ameongea point nzuri sana kwan watu pesa za kununua bundle wanazo kuchat whatsapp ila iyo pesa wangejibana ili waweze kulipa ada zao kwa miamala midogo midogo mpaka watakapokamilisha.
 
chuo starehe kibao mnakula ada au kuhonga huku mnajipa moyo mtairudisha; at the end of the day mnajikuta muda umekwisha na ada bado hamjalipa, USILE ADA DENT MAPENZI HAYANA MRADI.......... Mzazi hawezi kuacha kukupa ada kama alikubali ukasome. Tuache uwongooooooo Tumwogope MUNGU

Sure thing mdau
 
Back
Top Bottom