TIA-wanafunzi wazuiwa kufanya mitihani yao ya semister

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
2,764
Reaction score
2,559
Huu utaratibu ulianzishwa na huyu CEO mpya Dr.Joseph Mabula Kihanda sio mzuri na sio wa kitanzania,tunajua kabisa asilimia Kubwa ya watanzania ni masikini bila kujali itikadi zao lakini huyu bwana kaleta utaratibu eti kama ujamaliza kulipa ada hurusiwi kufanya mitihani ya semister
Chuo ambacho kiko chini ya mamlaka za serikali kinakuwaje na habari za kihafidhina kama izo badala ya kuwaacha watu wafanye mtihani kwanza ili baadaye kwenye final or last year ndio wawabane ye analeta habari zake za porini huko....

kuna wanafunzi naishi nao hapa mtaani wanalalamika tabia za ajabu na mbovu anazozionyesha hapo chuoni...

Hivi mamlaka zinazohusika zinalijua suala hili Mr.Azizi Kifile muwe mnamshauri huyu mtu anachofanya ni kurudisha maendeleo nyuma.

Wanafunzi Wa TIA hiyo TIASO kazi yake nini au ndio kula pesa za mabashi tu na kunywa pombe...Bob Marley aliwai kuimba #stand_up_for_your_right

Njia sahihi ya kuonyesha kilio chenu ni kujioganize na kuandamana mpaka kwenye ofisi zake ili dunia ijue Dr.Mabula ni mtu hatari wa kuepukwa.
 
Sasa bado muwe wamoja muungane mpeleke malalamiko yenu sehemu husika unaleta hapa kijana sjui itasaidia ila kwa kweli ni aibu kwa chuo cha serikali kuwazuia watu wasifanye mtihani kisa ada

labda huwezi jua hawapewi ruzuku kipindi hichi maana serikali yenu mnaijua tamaa mbele kwa hiyo lazima wawabane wanafunzi wanaojilipia wamalize ada ili walimu wapate riziki
 
Tatizo lako unakurupuka...halafu inaonekana ujui nini maana ya media...

Suala la ruzuku halina mjadala suala ni kwamba njia wanayotumia na muda wa kuwabana wanafunzi kutokufanya mtihani bado naamini njia nzuri ni katika final ndio inakuwa imekaa vizuri
 
Kijana unahasira unaonekana aliyekwambia nakurupuka nani hiyo swala lakuwabana katika final kuzuia matokeo ndilo linalofanywa siku zote na unapoona mabadiliko ujue kuna reason watu hawakurupuki mpaka wafikie hatua hiyo swala langu liko palepale kuna Tcu, kuna wizara ya elimu mlijikusanya mkaenda kupeleka shutuma zenu au ulikurupuka ww kuandika kuja hapa wakati mda wa siku ya final unakaribia
 
vyuo vimeachwa katika hali ngumu vijiendeshe vyenyewe so vitapata wapi Fedha dats y wanafanya hvyo! unaweza ulaumu uongozi lakini chanzo ni serikali !
 
Nmekwambia umekulupuka na hujui maana ya media coz ulisema badala ya kuungana na kupeleka malalamiko sehemu husika tunaleta hapa.....ndio maana nkasema hujui maana ya media kama ungekuwa unajua usingesema hayo maneno

Unakurupuka coz ujasoma thread yangu vizuri pale unapoendelea eti milijikusanya?.......
Mie nilishamaliza chuo muda mrefu sana na sasa hivi nasomesha Mdogo wangu so watch out.

Hata kama kuna mabadiliko ilibidi njia za busara zitumike sio hizo za kihafidhina.
Na nmejaribu kufatilia recond ya huyu CEO sio mtu mzuri kabisa
 
vyuo vimeachwa katika hali ngumu vijiendeshe vyenyewe so vitapata wapi Fedha dats y wanafanya hvyo! unaweza ulaumu uongozi lakini chanzo ni serikali !

Unachosema ni sahihi lakini njia zilizotumika zinaathili watu vibaya sana we mtu unazuiwa kufanya mtihani wa semester kisa elfu hamsini..is it fair?
 
Chuo gani ulimwenguni kinaruhusu mtu kufanya paper bila kulipia ada?
 
Tatizo la watanzania....ni uzuzu.
Sasa hapo unauliza au unakejeli au kwa vile tatizo sio lako.....ndugu yangu usiongee maneno ukamaliza..you never know..
Uwe unaongea kwa hoja sio unapayuka tu.
 
Huu utaratibu ulianzishwa na huyu CEO mpya Dr.Joseph Mabula Kihanda sio mzuri na sio wa kitanzania,tunajua kabisa asilimia Kubwa ya watanzania ni masikini bila kujali itikadi zao lakini huyu bwana kaleta utaratibu eti kama ujamaliza kulipa ada hurusiwi kufanya mitihani ya semister
Chuo ambacho kiko chini ya mamlaka za serikali kinakuwaje na habari za kihafidhina kama izo badala ya kuwaacha watu wafanye mtihani kwanza ili baadaye kwenye final or last year ndio wawabane ye analeta habari zake za porini huko....

kuna wanafunzi naishi nao hapa mtaani wanalalamika tabia za ajabu na mbovu anazozionyesha hapo chuoni...

Hivi mamlaka zinazohusika zinalijua suala hili Mr.Azizi Kifile muwe mnamshauri huyu mtu anachofanya ni kurudisha maendeleo nyuma.

Wanafunzi Wa TIA hiyo TIASO kazi yake nini au ndio kula pesa za mabashi tu na kunywa pombe...Bob Marley aliwai kuimba #stand_up_for_your_right

Njia sahihi ya kuonyesha kilio chenu ni kujioganize na kuandamana mpaka kwenye ofisi zake ili dunia ijue Dr.Mabula ni mtu hatari wa kuepukwa.

Mbona hamlalamiki kuhusu kuchangishana michango ya harusi??Kitchen party?? Picnic?? Waambie ndugu na marafiki zako wakusaidie ada. Hakuna mambo ya bure dunia ya leo.

Halafu mbona huko shule za sekondari hatusikii malalamiko ya ada?? Malalamiko ya ada tunayasikia elimu ya juu tu!! Tatizo ni nini hasa? Nafahamu kuna wazazi wanawalipia watoto wao milioni mbili hadi nne kwa mwaka wanapokuwa sekondari. Mnapoingia chuo tu, mnaanza kulalamika!! Tatizo ni nini hasa? Tumechoka sasa. Dr. Kihanda tekeleza majukumu yako. Tuache tabia ya kulalamika hovyo hovyo.

Unachosema ni sahihi lakini njia zilizotumika zinaathili watu vibaya sana we mtu unazuiwa kufanya mtihani wa semester kisa elfu hamsini..is it fair?

Ingia hotelini, halafu useme,....Jamani mnaninyima pilau na kuku kwa sababu tu nimepungukiwa shs 700? Halafu utuletee jibu hapa. Acheni tabia za kulalamika!!! Unataka nani akulipie ada? it is fair?

vyuo vimeachwa katika hali ngumu vijiendeshe vyenyewe so vitapata wapi Fedha dats y wanafanya hvyo! unaweza ulaumu uongozi lakini chanzo ni serikali !

Waeleze hao watoto. Wanapayuka bila kuwa na taarifa sahihi. Isitoshe hakuna cha bure dunia ya leo. Hata mkeo hawezi kukupa unyumba kila kukicha wakati huwezi kutimiza mahitaji ya familia. Atakutelekeza mara moja ukafilie mbali na gegedo lako...........

Wengi wanapewa ada, wanakula. Unapoamua kwenda chuo kusoma, inamana umejipanga kifedha. Chuo kifunguliwe tangu mwezi wa tisa mwaka jana, mpaka leo ada hujamaliza, ila sikuu umejichana. Wengine hawata fahulu wata discontinue baada ya kufeli, atakuja kumaliza ada huo? Si atakua ametumia rasilimali za chuo mfano, walimu, umeme, maji nakadhalika, gharama za chuo, harafu unasema aendele mpaka afanye mtihani nakupotelea mbali aki feli. Kwani wao wanakua hawajui kwamba wanadaiwa? Watanzania kwa dezo. Nenda ulaya kama utasoma nakufanya mitihani bure. Kwahio kwavile ni chuo chauma, mambo yawe hovyo. Tunalamikia taasisi zauma hazikusanyi kodi, kesho watakuja kwambia hao hao akina Dr Mabula, hawakusanyi ada. Huyu ni CEO safi na mchapa kazi. Awe mfano kwa ma CEO wengine wamashirika ya uma.
 
Mbona hamlalamiki kuhusu kuchangishana michango ya harusi??Kitchen party?? Picnic?? Waambie ndugu na marafiki zako wakusaidie ada. Hakuna mambo ya bure dunia ya leo.

Halafu mbona huko shule za sekondari hatusikii malalamiko ya ada?? Malalamiko ya ada tunayasikia elimu ya juu tu!! Tatizo ni nini hasa? Nafahamu kuna wazazi wanawalipia watoto wao milioni mbili hadi nne kwa mwaka wanapokuwa sekondari. Mnapoingia chuo tu, mnaanza kulalamika!! Tatizo ni nini hasa? Tumechoka sasa. Dr. Kihanda tekeleza majukumu yako. Tuache tabia ya kulalamika hovyo hovyo.

We we ndio unayelalamika ovyo ...hata uwezo wako wa kuchambua mambo ni Mdogo....
Ebu jichagulie tusi mwenyewe.. Eti secondary wanasomesha mpaka milioni mbili lakini chuo wanashindwa...shame on you
 
Back
Top Bottom