Kwamba 2019 Real Madrid atacheza finalist na moja kati ya timu hizo zitakazoshiriki. Anafanya utabiri wake hana loloteleo kwa mara yakwanza ubongo wangu umeshindwa kung'amua maana ya hii post,atakae elewa anieleweshe.
Mnazi tu huyo hana kitu ngoja jogooo ampige kimoja aachie kombewe jamaa mkorofi sana!
Kati ya Lazio na Inter nani anaenda kucheza usiku wa ulaya?
InterKati ya Lazio na Inter nani anaenda kucheza usiku wa ulaya?