Tiari wasindikizaji 26 wa UCL washapatikana kuwania kucheza finali na madrid

Tiari wasindikizaji 26 wa UCL washapatikana kuwania kucheza finali na madrid

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
soccer_samba-20180521-0001.jpg
 
leo kwa mara yakwanza ubongo wangu umeshindwa kung'amua maana ya hii post,atakae elewa anieleweshe.
 
Zilikua zaidi ya Timu 26 mbona umeandika idadi hiyo tuu...hawa Liver wanaonekana wapo makini wanataka kutuumbua maana beki yetu ya Ramos na Varane wanapoteana sana...wote wanajifanya washambuliaji kazi wanayo...
 
leo kwa mara yakwanza ubongo wangu umeshindwa kung'amua maana ya hii post,atakae elewa anieleweshe.
Kwamba 2019 Real Madrid atacheza finalist na moja kati ya timu hizo zitakazoshiriki. Anafanya utabiri wake hana lolote
 
Back
Top Bottom