TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

Afu DJ naomba utupe ratiba ya interview zako kama tulivozoea zamani it was jumamos.. Ili tutune mind zetu. Habari za kushtukiza hizi sio njema kabisa unaeza kuta muda wa interview umegogana na ligi nyingine huko??? Kama saizi watu wengi wapo hukooo [emoji117] [emoji117] [emoji117]

Natafuta mume



Cc Smart911


Acha ukorofi..
 
utaangalia marudio tumeshalipia airtime
Duhhh basi mororo mkuu ntakua naenda na kurudi naona ndo alichotufanyia DJ leo. Kweli men hamnaga muda wa kusubiri subiri.. Angekuwa mrembo hapa najua mwenyewe mida hii angekua anakula ubuyu kule.. DJ angechomeshwa mahindi...

Haya Nimekuelewa mkuu [emoji106] [emoji106]




Cc Smart911
 
mimi ni kijana wa kitanzania upende wa kaskazini, miaka 25-30, ni Ba udsm ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na pia nimejiajiri kwenye kilimo, kuhusu familia ndiyo najipanga kimaisha ili niweze kumvuta mama watoto
Warembo Wa jf Kazi kwenu[emoji23] [emoji23]
Una mchumba unayetegemea kumuoa
 
Back
Top Bottom