TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

Acha ukorofi..
 
utaangalia marudio tumeshalipia airtime
Duhhh basi mororo mkuu ntakua naenda na kurudi naona ndo alichotufanyia DJ leo. Kweli men hamnaga muda wa kusubiri subiri.. Angekuwa mrembo hapa najua mwenyewe mida hii angekua anakula ubuyu kule.. DJ angechomeshwa mahindi...

Haya Nimekuelewa mkuu [emoji106] [emoji106]

Cc Smart911
 
Nieleze kidogo kuhusu wewe;
Elimu,familia na kazi
mimi ni kijana wa kitanzania upende wa kaskazini, miaka 25-30, ni Ba udsm ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na pia nimejiajiri kwenye kilimo, kuhusu familia ndiyo najipanga kimaisha ili niweze kumvuta mama watoto
 
Warembo Wa jf Kazi kwenu[emoji23] [emoji23]
Una mchumba unayetegemea kumuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…