TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

mimi ni kijana wa kitanzania upende wa kaskazini, miaka 25-30, ni Ba udsm ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na pia nimejiajiri kwenye kilimo, kuhusu familia ndiyo najipanga kimaisha ili niweze kumvuta mama watoto
Fursa hiziiii. DJ tag watu wakuje changamkia tehtehteh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]



Cc Smart911
 
Bado sina mchumba kwa sasa nipo single
nakaribisha warembo wa jf wanaotaka kuanzisha mahusiano seriously
Sawa wamekusikia!
Kipato chako kwa mwezi una save kiasi gani!
 
So una drive mzeya [emoji23] [emoji23]
Unataka mchumba wako awe na muonekano gani!
Tabia je
ndiyo
Mchumba ni nayemtaka awe mrefu, asiwe mweusi sana, awe ni mtu anayependa Maendeleo,Ambaye tutasaidiana naye kwenye maisha, Awe mwenye busara na tabia njema na pia awe mkristo
 
ndiyo
Mchumba ni nayemtaka awe mrefu, asiwe mweusi sana, awe ni mtu anayependa Maendeleo,Ambaye tutasaidiana naye kwenye maisha, Awe mwenye busara na tabia njema na pia awe mkristo
Unawachukuliaje watu ambao hawawezi kukufanyia jambo lolote,wasio na msaada kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…