Hamna tunataja majina wajitaje kapo zao tu 😀
Naona umefanya changes, nini kimepelekea kuwahost mame?
Mzigua90 / Beira Boy / DJ Sepetu ingawa huyu Asprin ni tatizo nae.Mkuu hii ipo sawa hii??
Naona kama imepinda kidogo inyooshe vizuri teh ???
Nachoona ni
Sky eclat / Aspirin ila Kuna Sakayo pembeni sasa sijui ikoje hii sikuhizi!!!
Mzigua90 nanani vileeee??
Joanah kama una info puliiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz weka sawa hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Cc Smart911
Hahahahahahaaaa.
Hahahahaha unatakiwa ukomae kama Smart911 alivonitarget... Aisee yale majibu huwa nachekaga sana... Kumbe Smart911 mkorofi akiamua duh mi najishusha yumooo napandisha haniachiii kwenda nae levo azidi kuntibuaaaa nikasema leo nimeyaonaHahahahahahaaaa.
Niliusoma ule uzi huo mkwaruzano ulikuwa wa kiaina yake maana ilifika sehemu mkaachiwa ninyi wawili tu mnajibishana tena majibu ya shortcut sana yakiwa mazito.
Sasa mimi tatizo kukwaruzana ndio siwezi naishiwa point mapema
What?
Mambo wewe nimetingwa kweli mwenzio miss you
Wacha wee ukiwa muhenga ntakupa saiv acha baba zako wapate joto kwanzaNimekataliwa bana