TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

Mkuu hii ipo sawa hii??
Naona kama imepinda kidogo inyooshe vizuri teh ???

Nachoona ni

Sky eclat / Aspirin ila Kuna Sakayo pembeni sasa sijui ikoje hii sikuhizi!!!

Mzigua90 nanani vileeee??
Joanah kama una info puliiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz weka sawa hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Cc Smart911
Mzigua90 / Beira Boy / DJ Sepetu ingawa huyu Asprin ni tatizo nae.
 
Hahahahaha Ile mbinu inasaidia sana eeehh?? Ukute ndo mambe alitaka kuitumia lol mi na Smart911 it was so amazing nikiangaliaga ule uzi najikuta natabasamu pekeangu tu... Was so lovely

Cc Smart911
Hahahahahahaaaa.

Niliusoma ule uzi huo mkwaruzano ulikuwa wa kiaina yake maana ilifika sehemu mkaachiwa ninyi wawili tu mnajibishana tena majibu ya shortcut sana yakiwa mazito.

Sasa mimi tatizo kukwaruzana ndio siwezi naishiwa point mapema
 
Hahahahaha unatakiwa ukomae kama Smart911 alivonitarget... Aisee yale majibu huwa nachekaga sana... Kumbe Smart911 mkorofi akiamua duh mi najishusha yumooo napandisha haniachiii kwenda nae levo azidi kuntibuaaaa nikasema leo nimeyaona
 
Interviewed alipata dharura Mungu akijalia tutaendelea nae baadae
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom