Katika siku za hivi karibuni, nimeona tangazo katika TV zikielekeza kubadilishwa kwa jina la Tanzania Investment Bank (TIB) na kuwa TIB development Bank.
Bado najiuliza kirefu cha TIB kama kimebadilika au la? Kama hakijabadilika basi benki hii itaitwa "Tanzania Investment Bank Development Bank" Kama ndivyo hivyo, mimi naona hawa jamaa wamechemka katika hili. Natamani kusikia toka kwa wanajamvi wengine.

hiyo ni jina lingine na TIB Development bank limited na sasa ivi hiyo TIB haina kirefu tena ila inaonesha bank ilipotokea
the same to 'CRDB bank plc' nayo haina kirefu kwa sasa toka bank ilipotoka kwenye cooperative bank na kuwa commercial bank!!!
Kwani kirefu cha CRDB Bank ni nini?
KCB bank?