TIB Development Bank; Nini kirefu cha TIB?

Whisper

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
502
Reaction score
207
Katika siku za hivi karibuni, nimeona tangazo katika TV zikielekeza kubadilishwa kwa jina la Tanzania Investment Bank (TIB) na kuwa TIB development Bank.

Bado najiuliza kirefu cha TIB kama kimebadilika au la? Kama hakijabadilika basi benki hii itaitwa "Tanzania Investment Bank Development Bank" Kama ndivyo hivyo, mimi naona hawa jamaa wamechemka katika hili. Natamani kusikia toka kwa wanajamvi wengine.
 
Tanzania investment Bank
 
Kwani kirefu cha CRDB Bank ni nini?
 
hiyo ni jina lingine na TIB Development bank limited na sasa ivi hiyo TIB haina kirefu tena ila inaonesha bank ilipotokea

the same to 'CRDB bank plc' nayo haina kirefu kwa sasa toka bank ilipotoka kwenye cooperative bank na kuwa commercial bank!!!
 
inamana ilitakiwa iitwe Tanzania Investment Develepment Bank ---- (TID Bank) au hahahahah?
 
hiyo ni jina lingine na TIB Development bank limited na sasa ivi hiyo TIB haina kirefu tena ila inaonesha bank ilipotokea

the same to 'CRDB bank plc' nayo haina kirefu kwa sasa toka bank ilipotoka kwenye cooperative bank na kuwa commercial bank!!!

maelezo mazuri,kijana kama hajaelewa mpaka hapa itabidi turudie tu kufundisha kwa bakora!hata KCB nayo pia wamefuata mfumo huo!
 
Back
Top Bottom