Tiba asilia ya vidonda vya tumbo

Tiba asilia ya vidonda vya tumbo

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,170
Habari nzuri kwa wanajamvi,kwanza poleni na mihangaiko na matatizo ya kila siku,kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la vidonda vya tumbo nimepata dawa ya asilia yenye kuponya kutoka kwa baba mmoja toka morogoro,ni dawa itokanayo na majani ambayo huchanganywa na asali kama nusu lita ambapo haina madhara yoyote kwa mtumiaji na matokeo ni ya haraka sana hata kama mgonjwa yupo katika hali mbaya,hii dawa imewasaidia ndugu zangu na marafiki zangu kwani walihangaika sana nami katika pitapita nikafanikiwa kuipata,kwa mwenye shida awasiliane nae kupitia 0715118210,remember sio mganga wa jadi na nimemwomba kutoa mawasiliano yake kwa kusaidia wengine,kila la kheri ktk tiba.
 
Back
Top Bottom