Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

ulishawahi kumpa dawa yoyote ?? na wakati akifanya hivyo hutoa dalili yoyote mfano kutingisha mguu au mkono n.k na anarudi kukujoa mf labd mpk mara 3
Hakuna dawa nilimpatia, hua anakojoa mara moja. Kuhusu kutingisha mguu sijajua kwa maana silali nae. Kama kuna dawa yoyote nisaidie mkuu
 
HABARI WANA JF

kwa wale woote wenye kusumbulia na tatizo la kukojoa kitandani iwe mtoto au mtu mzima dawa zipo tatizo hilo mungu akipenda huondoka ndani ya siku 3 tu pm
Mimi nilishawahi kukojoa kitandani mpaka nafika miaka 15 lkn baadae nikagundua kabla ya kulala nikae masaa 2 kwanza bila kunywa na kuhakikisha hakuna mkojo utakaobana. Ukweli nilifanikiwa na ile hali imeisha na mpaka sasa nakunywa maji ht dk 5 kabla ya kulala na sijikojolei.

Hizo dawa zenu za kienyeji mtakuja kuharibu vizazi vyenu
 
Dawa ya kuzuia kukujoa ni hii hapa,mahitaji muhim
1.Nywele za mahindi(Zile zinazokuwa kwenye muhindi uliokomaa
2.Changanya na maji kisha chemsha
3.Kunywa kama juisi lete majibu jf
 
Watu wanaogopa kusema kwamba wanakojoa vitandani humu semeni tu jamani maana wengine mnasingizia watoto wenu humu ndani msikute nanyie mnaota ndoto za usiku kuwa upo chooni unakojoa kumbe unabwanda kitandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…