Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

Joined
Jan 6, 2013
Posts
40
Reaction score
12
Kwa muda mrefu kumekuwepo maelezo mengi dhidi ya tiba ya mtoto kikojozi.

Sasa naleta kwenu tiba asilia ya kuacha kukojoa kitandani ni ipi?
 
Huyo Mtoto mpake mafuta ya " Mzaituni " kichwani kabla ya kulala...
 
Mkuu dawa yake ni ndogo sana.
tafuta mahali penye siafu kisha fanya ujanja asimame eneo lile ili wale siafu wamuume. hiyo ndiyo tiba ya asili ya uhakika na mtoto hatojikojolea tena.
 
Mkuu dawa yake ni ndogo sana.
tafuta mahali penye siafu kisha fanya ujanja asimame eneo lile ili wale siafu wamuume. hiyo ndiyo tiba ya asili ya uhakika na mtoto hatojikojolea tena.

Huu ndiyo ubaya wa tiba ze KIENYEJI. Logical flow inakosekana. .Kuumwa na siaf
 
Mkuu dawa yake ni ndogo sana.
tafuta mahali penye siafu kisha fanya ujanja asimame eneo lile ili wale siafu wamuume. hiyo ndiyo tiba ya asili ya uhakika na mtoto hatojikojolea tena.

Sidhani kama ni kweli...
 
njia ya asili ndo ya uhakika zaidi, mfanyie utafiti ni mda gn huwa anajikojelea na uwe unamuamsha kabla ya huo muda
 
Kwanza angalia huyo mtoto ana umri gani. Usijaribu kumkemea sana mtoto aliyechini ya miaka mitano kwa kukojoa kitandani, unamjengea woga maishani mwake na atakosa kujiamini. Kuna kittu inaitwa anal stage, tafadhari google utaelewa vitu vingi sana na utajiuliza mara mbili mbili kabla hujaamua kumhukumu myoto wako kwamba ni kikojozi. Na pia check kama huyo mtoto anatumia pampasi. Mara nyingi watoto wanaotumia pampasi huchelewa kuacha kujikojolea kwa sababu wamezoea kukojoa saa yoyote bila mkojo kuwaamsha. Ni tofauti sana na mtoto aliyekuzwa kwa nepi, maana huyo akikojoa mkojo humuwasha , na kama mama yake ni mtu msafi, atambadilisha haraka, na hivyo kumfanya mtoto ajijengee mazingira ya kuwa concious kabla hajakojoa. Kwa ufupi mtoto kuacha kukojoa ni process, na inategemea unamfundisahaje kutumia choo. Endapo unamkemea sana haisaidii zaidi ya kumtesa kisaikolojia na yeye kuanza kuchukia kitendo hicho. Mwisho mtoto anakuwa "defensive" na anajenga woga wa dhidi ya jamii inayomzidi umri, hivyo kuishia kuwa "yes" man huko ukubwani. Nakuomba tu ugoogle hilo neno "anal stage" utapata mwanga mkubwa sana!
 
Nimepata mengi jamii forums tangu nimeanza kuwa mwanachama. LAKINI LEO NINAOMBA MSAADA WA KIAFYA.

Binti wa rafiki yangu anakojoa kitandani na ametumia dawa za Hospital nyingi sana bila mafanikio. Sasa hivi anaingia Form two.

Jamani kweli imenitia uchungu shangazi mtu kunielezea na Binti tumeonana leo ni mzuri ambaye amakata tamaa ya kuendelea kusoma kwa maesengenyo ya ndugu zake anaolala nao.

Ninaomba nisaideni kama mtu anajua dawa ya kienyeji au tufanye nini binti huyu aache kukojoa usiku akilala akumbuke aamke na aende chooni.

ASANTENI KWA MICHANGO YENU
 
tafuta mpapai dume ambao hauzai mapapi, chukua kijiti chochote funga kwenye huo mpapai kwa siku saba kisha hicho kijiti akitoe na kukifunga kiunoni kwa siku saba mfululizo (kikojozi ndo ajifunge hicho kijito na hili zoezi alifanye mwenyewe).
Baada ya hapo atakuwa kaacha kukojoa kabisa hata anywe maji lita 5 kabla ya kulala.
NB: kwa siku hizo 14 saba za kufunga mpapai saba za kufunga mgonjwa kijiti avae pampas maana atajikojolea kila siku mkojo wa kujaza galoni la lita tano. Hiyo ndo tiba yenyewe maana sumu ndo itakuwa inatoka yote na baada ya hizo siku 14 za kujikojolea sana basi atakuwa kapona milele amina.
 
Mpigie huyu mwambie kanambia salum nassor unadawa ya kukojoa ya mtt atakupa uombe mungu 0773437007
 
Njia moja iliyomsaidia mwanangu ni mazoezi. Muathirika anapobanwa na mkojo anatakiwa aubane kwa muda ili kuizoeza mishipa ya kibofu. Baada ya muda ataacha kukojoa.
 
Back
Top Bottom