V vis kipo Member Joined Aug 30, 2020 Posts 91 Reaction score 191 Nov 28, 2024 #1 Salamu Wana jukwaa... Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana. Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali. Naombeni ushauri
Salamu Wana jukwaa... Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana. Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali. Naombeni ushauri
SISIS JF-Expert Member Joined Jan 14, 2019 Posts 10,892 Reaction score 3,112 Nov 28, 2024 #2 Uwe makini kuna mtu walienda kumchoma choma likatokea donda kubwa mkononi hadi leo hajapona
V vis kipo Member Joined Aug 30, 2020 Posts 91 Reaction score 191 Nov 28, 2024 Thread starter #3 SISIS said: Uwe makini kuna mtu walienda kumchoma choma likatokea donda kubwa mkononi hadi leo hajapona Click to expand... Ohooo Asante mkuu
SISIS said: Uwe makini kuna mtu walienda kumchoma choma likatokea donda kubwa mkononi hadi leo hajapona Click to expand... Ohooo Asante mkuu