Tiba katika kituo cha Tiba asili cha Wakorea kilichopo dar (Kibamba?) zipoje?

Tiba katika kituo cha Tiba asili cha Wakorea kilichopo dar (Kibamba?) zipoje?

vis kipo

Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
91
Reaction score
191
Salamu Wana jukwaa...
Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana.
Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali.
Naombeni ushauri
 
Uwe makini kuna mtu walienda kumchoma choma likatokea donda kubwa mkononi hadi leo hajapona
 
Back
Top Bottom