muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Wewe una Malaria unakwenda kujitibu ugonjwa wa kichwa? ulijuaje kamaNilisoma humu namna ya kutibu maumivu ya kichwa kwa njia ya asili basi baada ya maumivu ya kichwa kunianza jana nikafuata ushauri wa tiba asilia kama nilivyosoma humu huku nikiamini nitapona.Ilipofika usiku kichwa kiliuma sana nikaamua kwenda msalani baada ya kwenda huko nikapoteza fahamu kuja kushtuka usiku najikuta niko msalani.Basi nikaamka nikaenda kulala ilifika asubuhi nikasema bora tu niende hospitalini baada ya vipimo kumbe ni malaria na ningechelewa hali ingekuwa mbaya zaidi.Kwakweli nawashauri dawa hizi za asili sio za kuziamini kwa asilimia miamoja.
Huyu Jamaa niKichwa majingoja MziziMkavu aje atakujibu vyema zaidi.
Ulilala chooni kwa muda gani mkuu manake dah!!
ulilala choo cha uswahilini na mvua hizi ????????????
Wewe una Malaria unakwenda kujitibu ugonjwa wa kichwa? ulijuaje kama
unaumwa ugonjwa wa kichwa mpaka utumie dawa zetu za Asili kujitibia kichwa? Sisi tunaye
towa Dawa za Asili hatumpi mtu dawa au ushauri mpaka amekwenda hospitali kuangalia ni kitu
gani kinachomsumbuwa ndio tunampa ushauri wetu sasa wewe unaumwa Malaria kisha unatumia
Dawa za kichwa kisha unasema Dawa za Asili usiziamini hata kidogo kasheshe kweli . Usitumie
Dawa zetu za asili tuachiwe wenyewe dawa zetu za asili wewe nenda kajitibiwe Ma-Hospitalini.
Huyu Jamaa niKichwa maji
anaumwa na Malaria anajitibia dawa za maradhi ya kichwa kwa kufuata ushauri wa humu ndani
ya Jamii Forums badala ya kwenda kwanza Hospitali anatumia dawa pasipo na ushauri wetu
kazi kweli ipo hapa. Tafadhalini na watu wengine Musitumie Dawa za TibaMbadala kabla ya
kwenda Hospitalini kujulikana una ugonjwa gani mwilini mwako. Musichanganye Dawa jamani
muwe waangalifu jitibieni hospitalini musipo pona ndio muje hapa jukwaani kuleta malalamiko
yenu musitake ushauri wa bure pasipo na kumuona Daktari kwanza asanteni.

yenu musitake ushauri wa bure pasipo na kumuona Daktari uOTE]
hii tabia ya kukisia imewaathiri wengi
wewe ulikuwa unaumwa malaria ukatibu kichwa