Tiba mbadala imeniponza mwenzenu

Tiba mbadala imeniponza mwenzenu

.Ilipofika usiku kichwa kiliuma sana nikaamua kwenda msalani baada ya kwenda huko nikapoteza fahamu kuja kushtuka usiku najikuta niko msalani.[/QUOTE]

Mkuu hebu nisaidie mie mgumu kuelewa.....huyo aliyekupa ushauri alikuambia kichwa kikiuma uwe unaenda chooni au?!!?
 
Nilisoma humu namna ya kutibu maumivu ya kichwa kwa njia ya asili basi baada ya maumivu ya kichwa kunianza jana nikafuata ushauri wa tiba asilia kama nilivyosoma humu huku nikiamini nitapona.Ilipofika usiku kichwa kiliuma sana nikaamua kwenda msalani baada ya kwenda huko nikapoteza fahamu kuja kushtuka usiku najikuta niko msalani.Basi nikaamka nikaenda kulala ilifika asubuhi nikasema bora tu niende hospitalini baada ya vipimo kumbe ni malaria na ningechelewa hali ingekuwa mbaya zaidi.Kwakweli nawashauri dawa hizi za asili sio za kuziamini kwa asilimia miamoja.
Wewe una Malaria unakwenda kujitibu ugonjwa wa kichwa? ulijuaje kama

unaumwa ugonjwa wa kichwa mpaka utumie dawa zetu za Asili kujitibia kichwa? Sisi tunaye

towa Dawa za Asili hatumpi mtu dawa au ushauri mpaka amekwenda hospitali kuangalia ni kitu

gani kinachomsumbuwa ndio tunampa ushauri wetu sasa wewe unaumwa Malaria kisha unatumia

Dawa za kichwa kisha unasema Dawa za Asili usiziamini hata kidogo kasheshe kweli . Usitumie

Dawa zetu za asili tuachiwe wenyewe dawa zetu za asili wewe nenda kajitibiwe Ma-Hospitalini.

ngoja MziziMkavu aje atakujibu vyema zaidi.
Huyu Jamaa niKichwa maji

anaumwa na Malaria anajitibia dawa za maradhi ya kichwa kwa kufuata ushauri wa humu ndani

ya Jamii Forums badala ya kwenda kwanza Hospitali anatumia dawa pasipo na ushauri wetu

kazi kweli ipo hapa. Tafadhalini na watu wengine Musitumie Dawa za TibaMbadala kabla ya

kwenda Hospitalini kujulikana una ugonjwa gani mwilini mwako. Musichanganye Dawa jamani

muwe waangalifu jitibieni hospitalini musipo pona ndio muje hapa jukwaani kuleta malalamiko

yenu musitake ushauri wa bure pasipo na kumuona Daktari kwanza asanteni.
 
Pole sana inatokea sometimes kila mtu na damu yake na ndo mana hata kwenye dawa za madukan mi naweza nikatumia mseto nikapona malaria ila mwingine ukamdhuru na asipone kabisa. Pole tena.
 
Wewe una Malaria unakwenda kujitibu ugonjwa wa kichwa? ulijuaje kama

unaumwa ugonjwa wa kichwa mpaka utumie dawa zetu za Asili kujitibia kichwa? Sisi tunaye

towa Dawa za Asili hatumpi mtu dawa au ushauri mpaka amekwenda hospitali kuangalia ni kitu

gani kinachomsumbuwa ndio tunampa ushauri wetu sasa wewe unaumwa Malaria kisha unatumia

Dawa za kichwa kisha unasema Dawa za Asili usiziamini hata kidogo kasheshe kweli . Usitumie

Dawa zetu za asili tuachiwe wenyewe dawa zetu za asili wewe nenda kajitibiwe Ma-Hospitalini.

Huyu Jamaa niKichwa maji

anaumwa na Malaria anajitibia dawa za maradhi ya kichwa kwa kufuata ushauri wa humu ndani

ya Jamii Forums badala ya kwenda kwanza Hospitali anatumia dawa pasipo na ushauri wetu

kazi kweli ipo hapa. Tafadhalini na watu wengine Musitumie Dawa za TibaMbadala kabla ya

kwenda Hospitalini kujulikana una ugonjwa gani mwilini mwako. Musichanganye Dawa jamani

muwe waangalifu jitibieni hospitalini musipo pona ndio muje hapa jukwaani kuleta malalamiko

yenu musitake ushauri wa bure pasipo na kumuona Daktari kwanza asanteni.

haya majibu ningemjibu mimi asingeamini.
 
Wewe una Malaria unakwenda kujitibu ugonjwa wa kichwa? ulijuaje kama

unaumwa ugonjwa wa kichwa mpaka utumie dawa zetu za Asili kujitibia kichwa? Sisi tunaye

towa Dawa za Asili hatumpi mtu dawa au ushauri mpaka amekwenda hospitali kuangalia ni kitu

gani kinachomsumbuwa ndio tunampa ushauri wetu sasa wewe unaumwa Malaria kisha unatumia

Dawa za kichwa kisha unasema Dawa za Asili usiziamini hata kidogo kasheshe kweli . Usitumie

Dawa zetu za asili tuachiwe wenyewe dawa zetu za asili wewe nenda kajitibiwe Ma-Hospitalini.

Huyu Jamaa niKichwa maji

anaumwa na Malaria anajitibia dawa za maradhi ya kichwa kwa kufuata ushauri wa humu ndani

ya Jamii Forums badala ya kwenda kwanza Hospitali anatumia dawa pasipo na ushauri wetu

kazi kweli ipo hapa. Tafadhalini na watu wengine Musitumie Dawa za TibaMbadala kabla ya

kwenda Hospitalini kujulikana una ugonjwa gani mwilini mwako. Musichanganye Dawa jamani

muwe waangalifu jitibieni hospitalini musipo pona ndio muje hapa jukwaani kuleta malalamiko

yenu musitake ushauri wa bure pasipo na kumuona Daktari uOTE]

hii tabia ya kukisia imewaathiri wengi
 
Back
Top Bottom