cute datty
JF-Expert Member
- Jul 11, 2014
- 583
- 277
cute datty !! dada mpendwa usichukuwe hatua hiyo ya kuomba dawa !! "its a risky/sucide attempt" rudi haraka utumie dawa alizoandikiwa Hospital..... Atumie haraka, hapo unamweka babako hatarini aweza kukuponyoka anytime !!
(kama huna uwezo wa kunua dawa..bora kakope au pita kwa wafadhili.wahisani wakusaidie)
Good luck
Thanks namsubiri kwa hamu sana MziziMkavutiba mbadala wasiliana na MziziMkavu
Wakuu habari za jioni?
Husikeni na heading hapo juu, Baba yangu alikuwa anaumwa Muda mrefu kidogo alikuwa anabanwa na pumzi na pia kukohoa . Baada ya kwenda hospitali imegundulika kuwa moyo wake umeanza kutanuka kidogo. So Kuna dawa za hospitali kaandikiwa . But kama Kuna mtu anayejua tiba mbadala ningependa zaidi atumie hizo kuliko dawa za hospitali.
Natanguliza shukrani nasubiri michango yenu
tiba mbadala wasiliana na MziziMkavu
Mkuu Tiba mbadala ya Moyo kutanuka ninayo ukihitaji nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoThanks namsubiri kwa hamu sana MziziMkavu
Excellent .. wewe endelea na medicnes za Hospital.... achana na hiyo side effects fear!! Hivi sasa na uzima wetu kila kitu tukitumiacho kina "artifisho,flava,color,ingrednts nk nk" vote vina side effects!! hata madawa miti shamba zina TOXICs za ajabu... REGEA dawa za Babu Loliondo!!! GOD FORBID !!Dawa za hospitali nishamnunulia keshaanza kunywa but nilikuwa nataka kujua kama tiba mbadala za ugonjwa huo zipo? Na pia nimesikia hizo dawa za hospitali zina side effects.
Asante sana mkuu be blessed.Excellent .. wewe endelea na medicnes za Hospital.... achana na hiyo side effects fear!! Hivi sasa na uzima wetu kila kitu tukitumiacho kina "artifisho,flava,color,ingrednts nk nk" vote vina side effects!! hata madawa miti shamba zina TOXICs za ajabu... REGEA dawa za Babu Loliondo!!! GOD FORBID !!
Stay far away!!
Alitumia dawa zipi hasa tiba mbadala au za hospitali?dawa zipo hata mimi mama aliwahi kutumia now yuko poa kabisa
Alitumia dawa zipi hasa tiba mbadala au za hospitali?
Ukitaka ataumie maji ya moto( dafidafi ) ipo tiba kwa maji hayo anywe glass 4 alfajiri kabla ya kutia kitu kinywani!! ULIZIA wataalamu wa hiyo!!Asante sana mkuu be blessed.
Mkuu Zamiluni Zamiluni Maji hayo ya ndafi ndafi (Maji ya Uvuguvugu) hayawezi kumtibia Mgonjwa wa Maradhi ay Moyo unaonza kutanuka kuna dawa za asili za kuweza kutibu hayo Maradhi ya moyo unaoanza kutanuka sio Maji ya Uvugvugu. Dawa ya kutibu haya Maradhi mimi ninayo kwa mwenye hayo matatizo anitafute kwa wakati wMke ukihitaji huduma zangu za matibabu bonyeza hapa.MawasilianoUkitaka ataumie maji ya moto( dafidafi ) ipo tiba kwa maji hayo anywe glass 4 alfajiri kabla ya kutia kitu kinywani!! ULIZIA wataalamu wa hiyo!!
Tafadhali wasiliana na MziziMkavu (kuna correction hapo juu) Niwieradhi Cute D!!Hebu nielezee vzr hii mkuu maji ya moto ya namna gani.? Na kwenye mabano ulivoweka dafidafi ndo umenichanganya kabisa Zamiluni Zamiluni
Tafadhali wasiliana na MziziMkavu (kuna correction hapo juu) Niwieradhi Cute D!!
Augue pole baba yetu