Tiba mbadala kwa moyo ulioanza kutanuka

Tiba mbadala kwa moyo ulioanza kutanuka

cute datty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Posts
583
Reaction score
277
Wakuu habari za jioni?

Husikeni na heading hapo juu, Baba yangu alikuwa anaumwa Muda mrefu kidogo alikuwa anabanwa na pumzi na pia kukohoa . Baada ya kwenda hospitali imegundulika kuwa moyo wake umeanza kutanuka kidogo. So Kuna dawa za hospitali kaandikiwa . But kama Kuna mtu anayejua tiba mbadala ningependa zaidi atumie hizo kuliko dawa za hospitali.

Natanguliza shukrani nasubiri michango yenu
 
cute datty !! dada mpendwa usichukuwe hatua hiyo ya kuomba dawa !! "its a risky/sucide attempt" rudi haraka utumie dawa alizoandikiwa Hospital..... Atumie haraka, hapo unamweka babako hatarini aweza kukuponyoka anytime !!
(kama huna uwezo wa kunua dawa..bora kakope au pita kwa wafadhili.wahisani wakusaidie)
Good luck
 
Last edited by a moderator:

Dawa za hospitali nishamnunulia keshaanza kunywa but nilikuwa nataka kujua kama tiba mbadala za ugonjwa huo zipo? Na pia nimesikia hizo dawa za hospitali zina side effects.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habari za jioni?

Husikeni na heading hapo juu, Baba yangu alikuwa anaumwa Muda mrefu kidogo alikuwa anabanwa na pumzi na pia kukohoa . Baada ya kwenda hospitali imegundulika kuwa moyo wake umeanza kutanuka kidogo. So Kuna dawa za hospitali kaandikiwa . But kama Kuna mtu anayejua tiba mbadala ningependa zaidi atumie hizo kuliko dawa za hospitali.

Natanguliza shukrani nasubiri michango yenu

tiba mbadala wasiliana na MziziMkavu

Thanks namsubiri kwa hamu sana MziziMkavu
Mkuu Tiba mbadala ya Moyo kutanuka ninayo ukihitaji nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Mimi ninakukaribisha upate tiba mbadala utakayoifurahia maana itakuwa ni chanzo cha kuboresha afya ya mzee wetu na hata yako pia. Tatizo la baba yetu litakwisha 0763797853
 
Dawa za hospitali nishamnunulia keshaanza kunywa but nilikuwa nataka kujua kama tiba mbadala za ugonjwa huo zipo? Na pia nimesikia hizo dawa za hospitali zina side effects.
Excellent .. wewe endelea na medicnes za Hospital.... achana na hiyo side effects fear!! Hivi sasa na uzima wetu kila kitu tukitumiacho kina "artifisho,flava,color,ingrednts nk nk" vote vina side effects!! hata madawa miti shamba zina TOXICs za ajabu... REGEA dawa za Babu Loliondo!!! GOD FORBID !!
Stay far away!!
 
dawa zipo hata mimi mama aliwahi kutumia now yuko poa kabisa
 
Excellent .. wewe endelea na medicnes za Hospital.... achana na hiyo side effects fear!! Hivi sasa na uzima wetu kila kitu tukitumiacho kina "artifisho,flava,color,ingrednts nk nk" vote vina side effects!! hata madawa miti shamba zina TOXICs za ajabu... REGEA dawa za Babu Loliondo!!! GOD FORBID !!
Stay far away!!
Asante sana mkuu be blessed.
 
Ukitaka ataumie maji ya moto( dafidafi ) ipo tiba kwa maji hayo anywe glass 4 alfajiri kabla ya kutia kitu kinywani!! ULIZIA wataalamu wa hiyo!!
Mkuu Zamiluni Zamiluni Maji hayo ya ndafi ndafi (Maji ya Uvuguvugu) hayawezi kumtibia Mgonjwa wa Maradhi ay Moyo unaonza kutanuka kuna dawa za asili za kuweza kutibu hayo Maradhi ya moyo unaoanza kutanuka sio Maji ya Uvugvugu. Dawa ya kutibu haya Maradhi mimi ninayo kwa mwenye hayo matatizo anitafute kwa wakati wMke ukihitaji huduma zangu za matibabu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Back
Top Bottom