Tiba mbadala na vipimo vya kitapeli

Tiba mbadala na vipimo vya kitapeli

Matapeli wapo kila tasnia ila huwezi kusema wote ni matapeli.
Hivyo vipimo sidhani kama vina shida yoyote isipokuwa shida inaweza kuwa;

1.Kukosa utaalamu wa kusoma na kutafsiri matokeo
2.Matokeo kutafsiriwa vizuri ila kukosa dawa sahihi ya kutibu ugonjwa husika
3.Kifaa husika kukosa matengenezo hivyo kushindwa kutoa matokeo sahihi.

Tulikuwa na house girl tulikaa nae badae akaolewa kijijini akapata mtoto,yule mtoto alisoma mpaka darasa la pili akaugua,akawa hawezi kusimama wala kukaa,ukimkalisha analala na akilala hana utulivu yaani anaweweseka hatulii,anatoka udenda,kula mpaka umlazimishe,kuongea hawezi zaidi ya kulia tu,wamezunguka huko Bugando,Hydom nk anaambiwa ubongo una shida,mara misuli anapewa dawa haponi na shule alishaacha,kuna daktari wa tiba
mbadala tulifahamiana nae(alimtibu maza) sasa yule binti alipomsimulia maza Kuhusu mtoto akaambiwa mlete nyumbani(mjini)yule dokta amuone,alipopimwa kwenye hicho kimashine(unavaa headphone fulani) ikaonyesha ubongo wake hauna shida isipokuwa mishipa ya fahamu(nerves) ndio zina shida na pia cells nyingi zimekufa.
Wakaambiwa atapona ila dawa zake ni kama 1.2M mpaka anapona,nayeye hakuamini kwanza aliona gharama kubwa pili akasema amezunguka hospitali kubwa kwahio akaona mtu mmoja tu na machine yake amtibu haiwezekani.Maza akamsihi(akimpa ushuhuda wa yeye kupona)wakakubaliana na Mme wake waanze tiba,ikabidi wauze mahindi ili walipe malipo ya awali mtoto aanze tiba wakati wanatafuta nyingine.
Ameanza tiba hapa home nikiwepo,wiki mbili za mwanzo mtoto akaanza kukaa,wakaenda kwao huku wakitumia dawa,baada ya miezi miwili walipokuja tena alikuwa tayari anatembea na kuongea vizuri,akapimwa tena na kupewa dawa za mwisho,wakati anaendelea kutumia tayari akarudi shule hata wakipiga simu katoto kanaongea vizuri tu,mpaka sasa hana shida yoyote,hata mimi mpaka leo huwa nastaajabu
Huyu nimemuona kwa macho sijasimuliwa,maana alikuwa nyumbani hapa kwa wiki 2 na aliporudi alinikuta,hata picha zake ninazo.
Pili hata kumjua huyu dokta kuna mama mtaani hapa figo zake zote zilifeli alikuwa Benjamin anafanyiwa dialysis,mama akachoka akaona anawafilisi watoto tu,akasema nipelekeni nyumbani nikafe,walipokutana na huyo dokta akapimwa na kuanza tiba,baada ya miezi minne akaanza kufanya usafi wa nyumba mwenyewe na shuguli zote,akawa kapona kabisa,hata watoto hawakuamini.(siku mama yangu ameenda kumuona alimkuta anafanya kazi mwenyewe ndio akamsimulia hali yake ilivyokuwa.

Kwahio tiba mbadala wapo tena vizuri mno hasa kwa magonjwa yasiyoambukiza yanatibiwa vizuri kuliko hata upande wa Pharmaceuticals.
Unajua Hawa wamekua kama walokole mi sasa nafikikisha 40. Sijawai kuona mtu ninaemjua kua alikua kilema au anaumwa ungonjwa Fulani akaombewa akapona, Apa umetupanga ndugu yangu.
Kila siku alipona Fulani, nasikia eti ilikua.
 
Hii nadhani kuna shida ya kuvitumia hivyo vipimo. Yaan mnashangaa mtu binafsi kuwa kipimo kinachoonesha magonjwa yote halafu serikali haina? Mbona hujiulizi kwanini haohao watu binafsi kwanini wanatumia dawa za miti shamba na syo vidonge na watu wanapona?

Mm nadhani gharama za hao watu wa tiba mbadala ndyo chanzo cha povu lote hilo.

Mwaka 2013 mpaka 2015 niliumwa sana vidonda vya tumbo na hivi vilisababishwa na hali ya maisha yaani mfumo mbovu wa chakula. Nilienda zahati za iringa nyingi sana,nikaenda pale hospital ya tosamaganga na mwisho nilienda mafinga hospital lakini shida haikuisha. Fikiria kwenye hizo hospital zote tatizo walikuwa wanalihisi tu baada ya vipimo vya kawaida kama minyoo,uti na vingine kukosekana. Nikikuwa napewa tu zile dawa za vidonda vya tumbo za vidonge.

Kuna dokta alikuwa pale tosamaganga nilipompa history ya ugonjwa yeye binafsi akasema nakuandikia dawa hapa lakini najua zitatuliz amaumivu kwa muda tu ila niende kliniki moja ipo ipogolo,kibwabwa.

Ase nishangaa baada ya kulipa sh.80,000 pamoja na vipimo naletewa vipakiti vya dawa za unga,pakiti mbili zilikuwa mithiri ya mkaa ulisagwa,nkapewa malekezo ya namna ya matumizi. Sikuamini baada ya wiki mbili nilijihisi kuwa binadamu wa kawaida maana ilikuwa huwezi kula maharage,dagaa,pilipili,nyama yenye mafuta,ukizidisha kula halafu uwe salama.

Mpaka leo sijawahi kuugua tena lile tatizo huu mwaka unaenda wa 10 sasa. Kwahyo mtu ukiniambia watu wa tiba mbadala ni matapeli nadhani ni kama madaktari wa hospital za serikali tu anavyoweza kushindwa kutfsiri ugonjwa wa mteja wake na hiyo ni kawaida sana kutokea.
 
Watanzania ni wajinga sana.
Eti mwili mzima vipimo ni sh. Elfu 10 au bure kisha wanakunyonga kwenye dawa.
Unabambikwa magonjwa kufuru.
Walienda kijijini wakampima Maza kihuni napigiwa simu mipesa inatakiwa ya dawa nikasema nipeni number ya tabibu namuhoji maswali tatanishi hana majibu .
Kama Kuna kipimo cha mwili mzima hicho kilipaswa kuuzwa zaidi ya milioni 100 . Cha ajabu mtaji wao wenyewe ni milioni 2.
Shenzi kabisa
 
Kwa mara ya kwanza nilienda kupatiwa tiba hizo bila kujua ni za kitapeli. Nikawaambia sijisikii vema kifuani, nikashikishwa cable, nikaoneshwa mapafu, nikaambiwa angalia mapafu yako yalivyoathirika kwa kuvuta sigara. Nikawaambia mi si mvuta sigara, wakaniambia unakunywa sana kahawa au chai, nikawaambia sipendelei kahawa na chai. Wakaniambia leta elfu themanini upate dozi, nikawaambia ngoja nikalete ziko nyumbani nikatokomea mazima. Nilijua hizo picha za mapafu yaliyoharibika si zangu
Shenzi kabisa mbwa wale
 
Unajua Hawa wamekua kama walokole mi sasa nafikikisha 40. Sijawai kuona mtu ninaemjua kua alikua kilema au anaumwa ungonjwa Fulani akaombewa akapona, Apa umetupanga ndugu yangu.
Kila siku alipona Fulani, nasikia eti ilikua.
Nina haja gani ya kumpanga mtu humu,kwa faida ipi?ningekuwa na maslahi na hii tasnia labda,wote tunakutana kwa maandishi tu.
Nimelazimika kutoa mfano halisi ili kuondoa hii dhana kwamba hawa ni matapeli wakati wanasaidia jamii kwa kiasi kikubwa tu.
 
Matapeli wapo kila tasnia ila huwezi kusema wote ni matapeli.
Hivyo vipimo sidhani kama vina shida yoyote isipokuwa shida inaweza kuwa;

1.Kukosa utaalamu wa kusoma na kutafsiri matokeo
2.Matokeo kutafsiriwa vizuri ila kukosa dawa sahihi ya kutibu ugonjwa husika
3.Kifaa husika kukosa matengenezo hivyo kushindwa kutoa matokeo sahihi.

Tulikuwa na house girl tulikaa nae badae akaolewa kijijini akapata mtoto,yule mtoto alisoma mpaka darasa la pili akaugua,akawa hawezi kusimama wala kukaa,ukimkalisha analala na akilala hana utulivu yaani anaweweseka hatulii,anatoka udenda,kula mpaka umlazimishe,kuongea hawezi zaidi ya kulia tu,wamezunguka huko Bugando,Hydom nk anaambiwa ubongo una shida,mara misuli anapewa dawa haponi na shule alishaacha,kuna daktari wa tiba
mbadala tulifahamiana nae(alimtibu maza) sasa yule binti alipomsimulia maza Kuhusu mtoto akaambiwa mlete nyumbani(mjini)yule dokta amuone,alipopimwa kwenye hicho kimashine(unavaa headphone fulani) ikaonyesha ubongo wake hauna shida isipokuwa mishipa ya fahamu(nerves) ndio zina shida na pia cells nyingi zimekufa.
Wakaambiwa atapona ila dawa zake ni kama 1.2M mpaka anapona,nayeye hakuamini kwanza aliona gharama kubwa pili akasema amezunguka hospitali kubwa kwahio akaona mtu mmoja tu na machine yake amtibu haiwezekani.Maza akamsihi(akimpa ushuhuda wa yeye kupona)wakakubaliana na Mme wake waanze tiba,ikabidi wauze mahindi ili walipe malipo ya awali mtoto aanze tiba wakati wanatafuta nyingine.
Ameanza tiba hapa home nikiwepo,wiki mbili za mwanzo mtoto akaanza kukaa,wakaenda kwao huku wakitumia dawa,baada ya miezi miwili walipokuja tena alikuwa tayari anatembea na kuongea vizuri,akapimwa tena na kupewa dawa za mwisho,wakati anaendelea kutumia tayari akarudi shule hata wakipiga simu katoto kanaongea vizuri tu,mpaka sasa hana shida yoyote,hata mimi mpaka leo huwa nastaajabu
Huyu nimemuona kwa macho sijasimuliwa,maana alikuwa nyumbani hapa kwa wiki 2 na aliporudi alinikuta,hata picha zake ninazo.
Pili hata kumjua huyu dokta kuna mama mtaani hapa figo zake zote zilifeli alikuwa Benjamin anafanyiwa dialysis,mama akachoka akaona anawafilisi watoto tu,akasema nipelekeni nyumbani nikafe,walipokutana na huyo dokta akapimwa na kuanza tiba,baada ya miezi minne akaanza kufanya usafi wa nyumba mwenyewe na shuguli zote,akawa kapona kabisa,hata watoto hawakuamini.(siku mama yangu ameenda kumuona alimkuta anafanya kazi mwenyewe ndio akamsimulia hali yake ilivyokuwa.

Kwahio tiba mbadala wapo tena vizuri mno hasa kwa magonjwa yasiyoambukiza yanatibiwa vizuri kuliko hata upande wa Pharmaceuticals.
Kaka tusaidiane taarifa, watu tuko kwenye mateso ya magonjwa na hatujui hatma yetu, nisaidie mawasiliano yake inbox kama hutojali.
 
Unajua Hawa wamekua kama walokole mi sasa nafikikisha 40. Sijawai kuona mtu ninaemjua kua alikua kilema au anaumwa ungonjwa Fulani akaombewa akapona, Apa umetupanga ndugu yangu.
Kila siku alipona Fulani, nasikia eti ilikua.
Usiwalaumu watu kwa ujumla,ni kweli Kuna baadhi ya watu hawa ni matapeli kama zilivyo hospitali nyingine unazoziamini wewe,lkn tunakuambia tuliyoyapitia ktk maisha ,wengine tumepata suluhisho huko huko unakosema ni matapeli na tumetapeliwa huko huko unakohisi ni salama
 
Binafsi kuna rafiki yangu aliniomba nimsindikize kwenye hivyo vipimo.
Vitu walivyovyokuwa wanamuambia jamaa vilikuwa vya kweli.

Walimuonyesha sehemu ya fuvu la kichwa chake kuwa kuna sehemu limebonyea.
Jamaa alikiri kuwa eneo hilo alipata ajali miaka ya nyuma.

Wakamuonyesha mapafu yalivyo athiriwa na moshi, pia jamaa alikiri kuwa ni miaka mitatu imepita tangu aache sigara.
Wakanitaka mimi niondoke ili majibu mengine wampe binafsi. Lakini jamaa hakujali hata mimi nikijua.
Wakamuambia nguvu za kiume zimeshuka sana na mambo mengine mengi sana.

Upande wa dawa zao ndio ilikuwa changamoto, ilikuwa bei kubwa sana.

Sasa kwa hayo niliyosikia, na jamaa kukiri kuwa kuna vitu alikuwa anatumia huko nyuma na hili linalosemwa hapa kuwa ni matapeli!
Inawezekana basi wanatumia nguvu za uchawi, maana mambo aliyoambiwa jamaa ndivyo yalivyokuwa. Na hawakumuuliza unaumwa nini.
 
Mkuu mpaka hawa watu wanaonekana matapeli ni gharama zao za dawa,dawa ni aghali mno kulinganisha na uhalisia wa kipato chetu,kipimo Chao ni elfu ishirini tu,vipimo hospitali zetu ni zaidi ya hao jamaa nimepiga mri hospitali ya rufaa mbeya,pamoja na mambo yetu Yale ilimigharimu laki Tano,na ufumbuzi wa tatizo sijapata huu tuiteje ni utapeli ama sayansi? Ukiwa mgonjwa unajaribu Kila kitu na huwezi hesabu hasara km unaumwa ukiona unauwezo wakuhesabu hasara kuwa umepona
 
Ndugu zangu utapeli uko kila mahali,lakini haimaanishi kuwa hakuna uhalisia.Kwenye tiba mbadala tunatibu magonjwa mengi Sana ambayo katika hosp zetu yameshindikana.Mgonjwa anakuja ametembea hosp nyingi na zote kubwa kwa majina lakini Bado hajapona au kupata nafuu ya ugonjwa wake,lakini akitumia dawa zetu anaendelea vizuri na kupona kabisa.
Changamoto iliyopo ni kwamba watu wanaamini ukitibiwa ni lazima upone tu Jambo ambalo siyo sahihi.Kuna level ya ugonjwa ambayo pia ni ngumu kupona maana pengine umeugua muda mrefu na ugonjwa umeshaharibu kila kitu na unaelekea mwisho.Kwa hiyo Kama ambavyo unaweza kufariki au kutokupona hata Kama umeenda India,Bugando,Mhimbili n.k ndivyo ambavyo hata kwenye tiba zetu unaweza usipone.
Nilichonacho uhakika ni kuwa, ikiwa mtu atawahi ugonjwa ukiwa Bado haujaharibu mifumo yake mhimu kupona ni lazima,dawa za mimea Zina nguvu na miujiza mikubwa kulikoni wengi wanavyofikri na hata kuziponda.Wengi wamesaidiwa kupitia tiba hizi hususani magonjwa yasiyo ya kuambukiza Kama presha,kisukari,bawasiri,vidonda vya tumbo,uzazi na mengine mengi.
Kwa hiyo tusitukane ukunga na uzazi ungalipo,Kama ulishindwa kupata msaada sehemu,Basi Kuna mwingine alipata kupitia hapohapo
 
Lakini hivi vipimo vimenisaidia kujua Nina tatizo la ngozi,nimetibiwa hospitali za serikali miaka kumi bila mafanikio,walivyonipima wao na kiniuzia dawa,tatizo limekwisha,SEMA dawa zao Sasa ,bei kubwa kuliko kipimo Cha mri
Na dawa zao, ingredients hazijulikani wala dawa hazina majina ya kueleweka
 
Tatizo mkishafanikiwa kutibu watu wawili watatu, gharama zinapanda zaidi.

Katika mambo serikali ilikosea sana kuruhusu iwe biashara badala ya huduma ni ELIMU na AFYA
Ndugu zangu utapeli uko kila mahali,lakini haimaanishi kuwa hakuna uhalisia.Kwenye tiba mbadala tunatibu magonjwa mengi Sana ambayo katika hosp zetu yameshindikana.Mgonjwa anakuja ametembea hosp nyingi na zote kubwa kwa majina lakini Bado hajapona au kupata nafuu ya ugonjwa wake,lakini akitumia dawa zetu anaendelea vizuri na kupona kabisa.
Changamoto iliyopo ni kwamba watu wanaamini ukitibiwa ni lazima upone tu Jambo ambalo siyo sahihi.Kuna level ya ugonjwa ambayo pia ni ngumu kupona maana pengine umeugua muda mrefu na ugonjwa umeshaharibu kila kitu na unaelekea mwisho.Kwa hiyo Kama ambavyo unaweza kufariki au kutokupona hata Kama umeenda India,Bugando,Mhimbili n.k ndivyo ambavyo hata kwenye tiba zetu unaweza usipone.
Nilichonacho uhakika ni kuwa, ikiwa mtu atawahi ugonjwa ukiwa Bado haujaharibu mifumo yake mhimu kupona ni lazima,dawa za mimea Zina nguvu na miujiza mikubwa kulikoni wengi wanavyofikri na hata kuziponda.Wengi wamesaidiwa kupitia tiba hizi hususani magonjwa yasiyo ya kuambukiza Kama presha,kisukari,bawasiri,vidonda vya tumbo,uzazi na mengine mengi.
Kwa hiyo tusitukane ukunga na uzazi ungalipo,Kama ulishindwa kupata msaada sehemu,Basi Kuna mwingine alipata kupitia hapohapo
 
Matapeli wapo kila tasnia ila huwezi kusema wote ni matapeli.
Hivyo vipimo sidhani kama vina shida yoyote isipokuwa shida inaweza kuwa;

1.Kukosa utaalamu wa kusoma na kutafsiri matokeo
2.Matokeo kutafsiriwa vizuri ila kukosa dawa sahihi ya kutibu ugonjwa husika
3.Kifaa husika kukosa matengenezo hivyo kushindwa kutoa matokeo sahihi.

Tulikuwa na house girl tulikaa nae badae akaolewa kijijini akapata mtoto,yule mtoto alisoma mpaka darasa la pili akaugua,akawa hawezi kusimama wala kukaa,ukimkalisha analala na akilala hana utulivu yaani anaweweseka hatulii,anatoka udenda,kula mpaka umlazimishe,kuongea hawezi zaidi ya kulia tu,wamezunguka huko Bugando,Hydom nk anaambiwa ubongo una shida,mara misuli anapewa dawa haponi na shule alishaacha,kuna daktari wa tiba
mbadala tulifahamiana nae(alimtibu maza) sasa yule binti alipomsimulia maza Kuhusu mtoto akaambiwa mlete nyumbani(mjini)yule dokta amuone,alipopimwa kwenye hicho kimashine(unavaa headphone fulani) ikaonyesha ubongo wake hauna shida isipokuwa mishipa ya fahamu(nerves) ndio zina shida na pia cells nyingi zimekufa.
Wakaambiwa atapona ila dawa zake ni kama 1.2M mpaka anapona,nayeye hakuamini kwanza aliona gharama kubwa pili akasema amezunguka hospitali kubwa kwahio akaona mtu mmoja tu na machine yake amtibu haiwezekani.Maza akamsihi(akimpa ushuhuda wa yeye kupona)wakakubaliana na Mme wake waanze tiba,ikabidi wauze mahindi ili walipe malipo ya awali mtoto aanze tiba wakati wanatafuta nyingine.
Ameanza tiba hapa home nikiwepo,wiki mbili za mwanzo mtoto akaanza kukaa,wakaenda kwao huku wakitumia dawa,baada ya miezi miwili walipokuja tena alikuwa tayari anatembea na kuongea vizuri,akapimwa tena na kupewa dawa za mwisho,wakati anaendelea kutumia tayari akarudi shule hata wakipiga simu katoto kanaongea vizuri tu,mpaka sasa hana shida yoyote,hata mimi mpaka leo huwa nastaajabu
Huyu nimemuona kwa macho sijasimuliwa,maana alikuwa nyumbani hapa kwa wiki 2 na aliporudi alinikuta,hata picha zake ninazo.
Pili hata kumjua huyu dokta kuna mama mtaani hapa figo zake zote zilifeli alikuwa Benjamin anafanyiwa dialysis,mama akachoka akaona anawafilisi watoto tu,akasema nipelekeni nyumbani nikafe,walipokutana na huyo dokta akapimwa na kuanza tiba,baada ya miezi minne akaanza kufanya usafi wa nyumba mwenyewe na shuguli zote,akawa kapona kabisa,hata watoto hawakuamini.(siku mama yangu ameenda kumuona alimkuta anafanya kazi mwenyewe ndio akamsimulia hali yake ilivyokuwa.

Kwahio tiba mbadala wapo tena vizuri mno hasa kwa magonjwa yasiyoambukiza yanatibiwa vizuri kuliko hata upande wa Pharmaceuticals.
Ebu tujali na sisi humu JF, naomba namba ya huyo tabibu anisaidie. Nitumie PM.
 
MMmh! Huyo dokta yeye anatumia vipimo gani?
 
Tatizo mkishafanikiwa kutibu watu wawili watatu, gharama zinapanda zaidi.

Katika mambo serikali ilikosea sana kuruhusu iwe biashara badala ya huduma ni ELIMU na AFYA
Siyo hivyo,isipokuwa gharama lazima iendane na wingi wa dawa atakazotumia mgonjwa,kwa hiyo Kuna maradhi mgonjwa inabidi atumie dawa mwezi mzima au zaidi.Ni kweli zipo dawa ambazo upatikanaji wake na maandalizi yake yanahitaji gharama kubwa na hivyo lazima gharama yake pia iwe kubwa kuzitoa siyo kila dawa to huo Sasa ni utapeli.
Lakini pia mgonjwa anaweza kuwa ameshapima kupitia maabara au hosp zingine,siyo lazima umpime wewe.Kwa hiyo hapo ni kufanyia kazi vipimo hivyo kwa kutoa dawa itakayomsaidia kesi iliyobainika.
 
Kwa mara ya kwanza nilienda kupatiwa tiba hizo bila kujua ni za kitapeli. Nikawaambia sijisikii vema kifuani, nikashikishwa cable, nikaoneshwa mapafu, nikaambiwa angalia mapafu yako yalivyoathirika kwa kuvuta sigara. Nikawaambia mi si mvuta sigara, wakaniambia unakunywa sana kahawa au chai, nikawaambia sipendelei kahawa na chai. Wakaniambia leta elfu themanini upate dozi, nikawaambia ngoja nikalete ziko nyumbani nikatokomea mazima. Nilijua hizo picha za mapafu yaliyoharibika si zangu
Duu! Je, ni Wizara gani inahusika na kuwapatia vibali vya kufanya kazi? Au wanafanya bila kupewa vibali husika?
 
MMmh! Huyo dokta yeye anatumia vipimo gani?
Hizohizo machine ila yeye unavaa kama headphones masikioni ina inaonyesha kwenye computer,baada ya hapo anayo mashine nyingine ya kufanyia tiba
 
Hii nadhani kuna shida ya kuvitumia hivyo vipimo. Yaan mnashangaa mtu binafsi kuwa kipimo kinachoonesha magonjwa yote halafu serikali haina? Mbona hujiulizi kwanini haohao watu binafsi kwanini wanatumia dawa za miti shamba na syo vidonge na watu wanapona?

Mm nadhani gharama za hao watu wa tiba mbadala ndyo chanzo cha povu lote hilo.

Mwaka 2013 mpaka 2015 niliumwa sana vidonda vya tumbo na hivi vilisababishwa na hali ya maisha yaani mfumo mbovu wa chakula. Nilienda zahati za iringa nyingi sana,nikaenda pale hospital ya tosamaganga na mwisho nilienda mafinga hospital lakini shida haikuisha. Fikiria kwenye hizo hospital zote tatizo walikuwa wanalihisi tu baada ya vipimo vya kawaida kama minyoo,uti na vingine kukosekana. Nikikuwa napewa tu zile dawa za vidonda vya tumbo za vidonge.

Kuna dokta alikuwa pale tosamaganga nilipompa history ya ugonjwa yeye binafsi akasema nakuandikia dawa hapa lakini najua zitatuliz amaumivu kwa muda tu ila niende kliniki moja ipo ipogolo,kibwabwa.

Ase nishangaa baada ya kulipa sh.80,000 pamoja na vipimo naletewa vipakiti vya dawa za unga,pakiti mbili zilikuwa mithiri ya mkaa ulisagwa,nkapewa malekezo ya namna ya matumizi. Sikuamini baada ya wiki mbili nilijihisi kuwa binadamu wa kawaida maana ilikuwa huwezi kula maharage,dagaa,pilipili,nyama yenye mafuta,ukizidisha kula halafu uwe salama.

Mpaka leo sijawahi kuugua tena lile tatizo huu mwaka unaenda wa 10 sasa. Kwahyo mtu ukiniambia watu wa tiba mbadala ni matapeli nadhani ni kama madaktari wa hospital za serikali tu anavyoweza kushindwa kutfsiri ugonjwa wa mteja wake na hiyo ni kawaida sana kutokea.
Uko sahihi mkuu,ndio hicho hata Mimi nimezungumzia,ni rahisi kuwaita hawa matapeli sababu hujapona ugonjwa fulani kwa kutumia dawa zao,lakini kuna watu wanaenda hospitali kubwa kabisa za rufaa na za kitaifa wanatibiwa na hawaponi na wakati mwingine unakuta kafanyiwa kabisa na operation lakini hapati nafuu yeyote au unakuta wanatibu kitu tofauti kabisa na ugonwa wake lakini husikii wakisema hizo hospitali ni za kitapeli.
 
Back
Top Bottom