Tiba Mbadala ya Kutibu Homa ya Dengue

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

TIBA YA DENGUE

Homa ya dengue iko Malaysia, Thailand, Phillipines kwa miaka mingi. Imethibitishwa kwamba wao

wanatibu na kuzuia kwa kutumia Papai ambapo wanatafuna na mbegu zake au majani yake.

Chukua majani ya papai matano, twanga, au ponda, na endapo una blenda itumie ili uweze kupata

rojo la kijani. Kisha kamua na weka asali. Tumia vijiko 3 vya chakula kwa siku.

Kwa utumiaji huu utajiwekea kinga na hautaugua homa hii. Share habari hii ili wengine wapate

kuelewa.

Pia unaweza kuangalia kwenye internet google kwa kuandika Dengue fever malysia.

Last edited by a moderator:

samahani mzizi mkavu,je asali unaweka kiasi gani? Hapo hujasema ni kijiko au kiasi gani maana ni muhimu tujue kipimo cha asali je ni kijiko cha kula au cha chai?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Dr Mziz mkavu shukrani.
Kumradhi. Vijiko vitatu unatakiwa utumie kwa siku ngapi?
 
Mkuu Dr Mziz mkavu shukrani.
Kumradhi. Vijiko vitatu unatakiwa utumie kwa siku ngapi?
Dawa unatumia kwa muda wa siku 3 kutwa mara 3 asubuhi mchana na usiku kabla ya kula kitu fanya hivyo kisha uende kupima hiyo Homa yako ya Dengue utakuta umeğpona inshaallah. Unaweza kunitembelea blog yangu utapata mambo mengi yenye faida bonyeza hapa http://mzizi-mkavu.blogspot.com.tr
 
Wewe ni mtz original, kwa kujitolea kuokoa wengine. Big up!
 
Dozi ni hyoyo hyo ata Kwa watoto?my son ana 1 year and a half.help plizz am worried. and hiz tetesi kuwa inaua ini ..zmekaaje?
 
Dozi ni hyoyo hyo ata Kwa watoto?my son ana 1 year and a half.help plizz am worried. and hiz tetesi kuwa inaua ini ..zmekaaje?
Kwa mtoto mdogo anatumia kijiko kidogo cha chai kutwa mara 3 kwa muda wa siku3. Wewe umewahi kusikia wapi kuwa Majani ya mpapai na Asali na maji kidogo kuwa ni Sumu? unao ushahidi wowote ule leta hapa kwenye Forums yetu hii?
 
Ushahidi sina Dr.naskia skia tuu ndio maana nikauliza.ahsante saana ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…