Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
TIBA YA DENGUE
Homa ya dengue iko Malaysia, Thailand, Phillipines kwa miaka mingi. Imethibitishwa kwamba wao
wanatibu na kuzuia kwa kutumia Papai ambapo wanatafuna na mbegu zake au majani yake.
Chukua majani ya papai matano, twanga, au ponda, na endapo una blenda itumie ili uweze kupata
rojo la kijani. Kisha kamua na weka asali. Tumia vijiko 3 vya chakula kwa siku.
Kwa utumiaji huu utajiwekea kinga na hautaugua homa hii. Share habari hii ili wengine wapate
kuelewa.
Pia unaweza kuangalia kwenye internet google kwa kuandika Dengue fever malysia.
Last edited by a moderator: