Tiba nzuri kwa bawasiri kwa watoto

Tiba nzuri kwa bawasiri kwa watoto

Kama ni mtu mizma na ni ile Ya Nje tumiw Mafuta ya Mnyonyo/Castrol Oil ukimaliza kuoga hasa asubuhi ile jifute vizuri uwe mkavu jipake eneo lote lenye Tatizo fanya hivyo asubuhi na Usiku utapata matokeo
Yanapatikana wapi haya mafuta
 
Kama upo moro nikupe maelekezo na upewe mmea husika ukapande kama ua na uwe na uwezo wa kujitibu mwenyewe na hata wengine pia mmea huo unatibu na magonjwa mengine ila uwe na posho tu
 
Na watu wazima je?
Kwa dose hiyo unapona baada ya muda gani
Kuhusu dawa hii Anusol ukitumia kuanzi siku 3 hadi 7 unaona matokeo chanya issues ni unakulaje, hivyo ulaji wa wanga unapaswa kuwa mdogo na mbogamboga, matunda yenye nyuzi na mengine kama papai, biringanya, na jamii hiyo imekuwa ikileta matokeo chanya haraka. Kama ni bawasili ya ndani basi matokeo ni haraka kuliko ya nje hasa ikiwa imeambatana na kuvuja damu unahitaji muda wakupumzika home kama inawezekana.
 
vp kuhusu oparesheni inagharimu kiasi gani
 
Ah! Kwa operation kuanzia uchunguzi hadi operation inategemea na hospital na ukubwa tatizo ila range ni 700k to 1.5M kwa ujumla.
Zingatio
Upasuaji sio mbadala wa ulaji mbovu. Unaweza fanyiwa operation na bado ikarudi kama hutofuata kanuni za ulaji wa chakula chenye utimamu/ uhai.
 
Habari Wana jamii forum naomba kujua dawa ya kutibu bawasiri kwa mtoto mdogo maana hospital nimempeka mara nyingi lakini sijapata matokeo mazuri ahsante.
Mtu ukiwa na tiba unatoa hapa hapa ili na wengine wafaidikie,

Sasa mara njoo PM, mwisho wa story mnaenda kumtapeli. 🙂🙂

Mkuu tafuta hii dawa Tabs na gell yake "Euphorbia Prostrata Extract" nenda pharmacy kubwa kubwa utazipata
 
Kuhusu dawa hii Anusol ukitumia kuanzi siku 3 hadi 7 unaona matokeo chanya issues ni unakulaje, hivyo ulaji wa wanga unapaswa kuwa mdogo na mbogamboga, matunda yenye nyuzi na mengine kama papai, biringanya, na jamii hiyo imekuwa ikileta matokeo chanya haraka. Kama ni bawasili ya ndani basi matokeo ni haraka kuliko ya nje hasa ikiwa imeambatana na kuvuja damu unahitaji muda wakupumzika home kama inawezekana.
Asante sana mkuu, tunawahitaji watu wa aina yako zaidi
 
Back
Top Bottom