Mazoezi kwa wingi,kunywa maji mengi daily,maintain mind stability,kula sana mboga za majani,matunda,nafaka zisizokobolewa,mizizi(viazi na mihogo mibichi),karanga mbichi,korosho,samaki,maziwa,asali,other sea foods e.t.c......Kwepa kabisa kula chips,ugali sembe,wali,pilau na nyama