Tiba sahihi ya jino bila kung'oa

Tiba sahihi ya jino bila kung'oa

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Wakuu napenda kutumia nafasi hii kuuliza,ipi ni tiba sahihi ya jino lililo aribika na lenye maumivu.

Nimetumia tiba ya Mzizi Mkavu,mkojo lakini mwezi sasa jino haliponi.

Jino ni la juu,nina mpango wa kuling'oa lakini kuna watu wanasema jino la juu ni hatari kulitoa.

Na wengine wanasema uking'oa,wadudu wanaamia jino lingine.Namimi nimeshang'oa Meno 4 mpaka sasa.

Ushauri wakuu,hii imekaaje.
 
Mkuu mimi ninapojiskia kuwa na maumivu ya jino huchemsha maji yenye chumvi ndani yake mpaka yanapokuwa ya uvuguuvugu husukutua maji hayo kila asubih na maumivu ya jino hupotea kabisa.

Sijawahipokung'oa jino lakn kuniuma tayar mwaka 2002 nilianzakuumwa na jino nikaulizia taratibu za ung'oaji zilivyo nikambiwa unapigwa sindano ndani ya mdomo hapo ni kawacha wazo la kung'oa jino.

Jino hilo nikatembea nalo na maumivu juu mpaka kuna kipindi nikatafuta aspirin nikawa nakata vipande na kuweka kwenye jino hilo baada ya miezi kupita jino likaanza kupasuka nikaona hii ya Leo balaa lakin mauimivu ya jino yalipotea kabisa kuuma, lakni kadir siku zinavyokwenda na jino linakatika vipande vidogovidogo,

Baada ya miaka kama mitatu hivi kuna mtu flani alinipa ushauri wa kuchemsha maji na chumvi ndani yake halaf iwe nasukutua hii ilinafaaa sana mpaka sasa hivi maumivu yale sinayokabisa na inapotokezea hufanya dawa hiyo na inanitibu vizuri kabisa. Ugua pole kiongoz.
 
Jana kuna ustadh wng amenambia kuwa dawa ya jino ni asali na chumvi .chukua chumvi kidgo changanya na asali kisha uwe wasikutua kutwa mara tatu. Kumbuka siku ya kwanza hadi ya 3 utapata maumivu kiasi ila baada ya ck hizo mambo ni shwari hamna shari!! Asante
 
Nafuatilia mjadala moja kwa moja na mimi jino la juu linaniuma
 
Wakuu napenda kutumia nafasi hii kuuliza,ipi ni tiba sahihi ya jino lililo aribika na lenye maumivu.

Nimetumia tiba ya Mzizi Mkavu,mkojo lakini mwezi sasa jino haliponi.

Jino ni la juu,nina mpango wa kuling'oa lakini kuna watu wanasema jino la juu ni hatari kulitoa.

Na wengine wanasema uking'oa,wadudu wanaamia jino lingine.Namimi nimeshang'oa Meno 4 mpaka sasa.

Ushauri wakuu,hii imekaaje.
kam hilo jino lina pango chukuwa mafuta ya karafuu weka ndani ya pamba safi kisha weka kwenye hilo jino. Likipona ndipo waweza kutumia njia ya mkjo kw asiku 3 unasukutuwa hauta umwa tena na hayo amradhi ya meno. La kama jino lako halina pango twanga karafuu iwe ay unga kisha weka katika pamba safi kisha weka kwenye hilo jino lako litapona. Mimi nimesukutuwa mkojo wangu siku 3 mnamo mwaka 2011 mpaka hii leo sijwahi kuumw atena maradhi ya jino nitasukutuwa tena siku 3.

c83e85d560bd1168b3daf1cc82227dd2--toothache-remedy-health-remedies.jpg
 
Back
Top Bottom