Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Wakuu napenda kutumia nafasi hii kuuliza,ipi ni tiba sahihi ya jino lililo aribika na lenye maumivu.
Nimetumia tiba ya Mzizi Mkavu,mkojo lakini mwezi sasa jino haliponi.
Jino ni la juu,nina mpango wa kuling'oa lakini kuna watu wanasema jino la juu ni hatari kulitoa.
Na wengine wanasema uking'oa,wadudu wanaamia jino lingine.Namimi nimeshang'oa Meno 4 mpaka sasa.
Ushauri wakuu,hii imekaaje.