Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
kam hilo jino lina pango chukuwa mafuta ya karafuu weka ndani ya pamba safi kisha weka kwenye hilo jino. Likipona ndipo waweza kutumia njia ya mkjo kw asiku 3 unasukutuwa hauta umwa tena na hayo amradhi ya meno. La kama jino lako halina pango twanga karafuu iwe ay unga kisha weka katika pamba safi kisha weka kwenye hilo jino lako litapona. Mimi nimesukutuwa mkojo wangu siku 3 mnamo mwaka 2011 mpaka hii leo sijwahi kuumw atena maradhi ya jino nitasukutuwa tena siku 3.Wakuu napenda kutumia nafasi hii kuuliza,ipi ni tiba sahihi ya jino lililo aribika na lenye maumivu.
Nimetumia tiba ya Mzizi Mkavu,mkojo lakini mwezi sasa jino haliponi.
Jino ni la juu,nina mpango wa kuling'oa lakini kuna watu wanasema jino la juu ni hatari kulitoa.
Na wengine wanasema uking'oa,wadudu wanaamia jino lingine.Namimi nimeshang'oa Meno 4 mpaka sasa.
Ushauri wakuu,hii imekaaje.