Tiba ya cholesterol

Tiba ya cholesterol

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu msaada wenu nimepima cholesterol ipo juu kidogo. Nini nifanye kupunguza cholesterol au tiba yake ni nini?
 
Badilisha diet yako.Punguza Kula vitu vyenye mafuta Sana.Ukipata mbegu za uwatu loweka kwenye maji yako ya kunywa ndipo unywe.
 
Funga kula, tiba kuu ya magonjwa mengi.
 
Habari wakuu msaada wenu nimepima cholesterol ipo juu kidogo. Nini nifanye kupunguza cholesterol au tiba yake ni nini?

Pole sana.

Zingatia mazoezi na upunguze matumizi ya vyakula vyenye wanga kwa wingi.

Ni muhimu ukashauriana daktari zaidi kuhusu viwango hivyo vya cholesterol ili kama kuna uhitaji wa kutumia dawa basi akuandikie.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom