Pole sana ndugu yangu,tanzania imejaa matapeli kila kona kuanzia watawla hadi wafagia mahospitalini,kila mtu anaitwa daktar na hamna anyehoji ni daktari wa namna gani leo utasikia dr. aziza anatibu sukari kwa dawa za kienyeji na ukifuatilia utakitari wake ni kama mbunge maji marefu anavyojiita professa,mtu wa kawaida akisia dr au prof anakimbilia tiba ambayo haina uhakika.
Ndodi ni mwongo na mjasiriamali mzuri sana hivyo kuweni makini na tiba zingine kama pumu zipo tena elfu sabini inaweza kuwa gharama ya mwaka mzima na pia huponi kabisa ni ugonjwa sugu
MWISHO TULAANI HAWA WANAOIBUKA NA KUTOA TIBA ZA AJABU AJABU NA BABU WA LOLIONDO SI AJABU NI WALE WALE,MTANISAMEHE WAPENZI WA BABU