Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Elimu murua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida iko tumboni kwako,we unatibu mdomoniNaomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k.
Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za madawa ya dukani na asili ila changamoto ipo pale pale nikiongea na mtu anakimbilia kushika pua na kugeuza uso
Naomba msaada wadau. Changamoto inanikosesha raha.