Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blood infection or bacterial sepsisHabari wapendwa na ma Doctor wa humu samahani nina swali eti nini kinasababisha infection kwenye damu kwa watoto nina mtoto yaan inaenda inajirudia rudia na tiba yake ni nini ili kuitokomeza kabisa
inaenda inajirudi rudi ndio nini?Habari wapendwa,
Nina swali, nini kinasababisha infection kwenye damu kwa watoto? Nina mtoto yaani inaenda inajirudia rudi.
Tiba yake ni nini ili kuitokomeza kabisa?